Nimetembea na mdogo wake rafiki angu sijamwambia na mtoto kaniganda

Ulitumia kondomu au UKIMWI siyo ishu tena siku hizi?
 
NAKAZIAAAA...
 
Huyo ni binti wa kibongo kafanya hayo yote?

Probably chai au ule uchekeshaji uliousema unao
 
Kwani 'uanangu' ni undugu wa damu, nani kakwambia huruhusiwi kumpenda?

Mbona unauliza vimaswali vya majaribu weye?

Yaani uchape dada wa mwana halafu uje huku kutusherehekea sisi, si dharau hizi jamani!
 
Kwani 'uanangu' ni undugu wa damu, nani kakwambia huruhusiwi kumpenda?

Mbona unauliza vimaswali vya majaribu weye?

Yaani uchape dada wa mwana halafu uje huku kutusherehekea sisi, si dharau hizi jamani!
Haya kama unaona sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…