Nimetenga 3m inisaidie kujiunga na jeshi la polisi Tanzania

Ulisikia wapi Tanzania rushwa na wizi vikaisha? Hujawahi kumuibia mwajiri wako?
Mbona unauliza maswali magumu kwa Wazee 🀭

Sisi wa mwaka 47 hatukuwahi kuwaibia waajiri
Police wana chuo Moshi, kule hapahitaji wa JKT. Thoe from JKT pia unaweza tupwa upolisini
Wasiwasi wangu jamaa anaweza kupoteza hela yake na asipate hiyo nafasi
 
Juzi nlikua napiga story na jamaa angu hawa kaunda . Yeye yupo ikulu ni wale vijana wana escort misafara. Anakuambia yaweza pita siku tatu hadi nne hajaona kitanda. Zaidi ya kulala kwenye magari.

Mkubwa anatangulia na ndege then nyie mnaambiwa mtakuja na gari/magari, ukifika mkoani kama ni ka hafla kanaisha the same day na mizunguko kidogo,thena mkubwa anapelekwa airpot nyie mtakuka tena na gari.

Naona kama hizi kazi ni itumwa. Unaongea na mabosi uku umeinamisha kichwa, yaani muda wote unakua mnyonge mnyonge, ndo maana wanaishia kumalizia hasira wananchi.
 
Ni sawa na mtu aseme ametenga pesa ili apate nafasi ya kuwa jambazi kwenye kundi linalosifika
kwa ujambazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…