issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,128
- 7,899
mkuu nakuheshimu sana. unaweza thibitisha hilo?Mo kwenye game ya simba na as vita aliweka million 100 in a single bet.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu nakuheshimu sana. unaweza thibitisha hilo?Mo kwenye game ya simba na as vita aliweka million 100 in a single bet.
hapana unatumia knowledge yako kuchagua teams zenye uwekezano haulazimishi mtu na mtu anakuja kwako sababu ya knowledge yako team gani at a given day ina probability ya kushinda..., ila ukiongelea kama ni ethical.., its debatable sababu kwangu mimi hata kina Sportspesa, Mzuka n.k. inachokifanya kwa jamii its not ethicalKuwauzia watu tips ni Utapelii piaaa..
AiseeeeeNilichogundua una madini ila huu uzi nafikiri sio sahihi kwa unachokitoa ..ila ulipaswa kutoa hilo pindi kwenye uzi wa how to maximize profit on sports gambling ingefaa ila huu uzi ni wa kufungua champagne baada ya mwenzetu kupitia ups and down katika kumaximize profit, HOW? Ndo mimi na wewe tumuulize hapa ila sio kumfundisha nini afanye ili na sisi tuwe inspired unless nenda kwenye forex ukashushe hizi nondo.
leo na sasa una 15M kesho na kesho kutwa ? na hio graph yako ipoje sitashangaa kama ilifika mpaka 50M na ikashuka mpaka 15MEmotionally and time wastage? Sasa mkuu Nina M15 hapa we unaniambia nimepoteza muda? Haha
Unajua maana ya long term loss ?, akiendelea betting no matter the system within next 5 years or less atakuwa amewapa hio 15M na zaidi hata akiwapa tuseme 14M faida ya 1M kwa muda wote huo kama sio time wastage ni nini ?Time wastage?? [emoji23][emoji23] bro you need some milk.
mwisho wa siku what matters ni una nini mfukoni hio pesa aliyo ipata akienda kunywa chai anakuza kipato na kutengeneza mnyororo mkubwa wa thamani . au ...huku ww na kuchangia pato bado kama unalipa kodi unataka pato la aina gani au uzalishaji wa aina gani .....mwisho wa siku winner takes it all ...bla bla hazina msingi ....welfare at its bestUmekuza kipato chako bila kufanya kazi (kuzalisha huduma / bidhaa), kwa lugha nyingine tunaita wizi / utapeli. Na ndio maana kuna vita inapigwa kuzifungia hivi vichaka vya wezi na matapeli.
Naomba unitumie kwa njia ya mmpesa takupa namba ya wakala....Haha naona napoteza muda wangu hapa, hebu Nipe mfano hata mmoja ambapo kampuni mbili zime lay off odds tofauti ambapo ukiweka pesa huku na huku lazima upate faida???? Never!!! Hapo kumbuka kuna draw!!!
Ukinipa mfano hata mmoja ntakutumia 100k sasa ivi na naomba kila mtu awe shahidi
| O/U 2.25 | Total | Over | Under | Profit | ||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| Soccer» Israel»Leumit League | ||||||||
| O/U 5.5 | Total | Over | Under | Profit | ||||
| Hockey» World»WCH IA | ||||||||
| 1X2 | 1 | X | 2 | Profit | ||||
| Soccer» Israel»Leumit League | ||||||||
| O/U 48.5 | Total | Over | Under | Profit | ||||
| Rugby Union» France»Top 14 | ||||||||
| O/U 2, 1st Period | Total | Over | Under | Profit | ||||
| Hockey» USA»NHL | ||||||||
| EH -2 | Total | 1 | X | 2 | Profit | |||
| EH -3 | Total | 1 | X | 2 | Profit | |||
| Soccer» Spain»Tercera Division - Group 1 | ||||||||
| 1X2 | 1 | X | 2 | Profit | ||||
| Soccer» Italy»Serie C - Group B | ||||||||
| Home/Away | 1 | 2 | Profit | |||||
| O/U 22.5 Frames | Total | Over | Under | Profit | ||||
| Snooker» World»World Championship | ||||||||
| Today 21:00 | Hawkins B. - Wilson K. | 22.5 | 2.85 | 1.76 | 8.8% | |||
| Today 16:30 | Trump J. - Ding J. | 1.40 | 4.00 | 3.7% | ||||
| Today 19:30 | Sambenedettese - Gubbio | 2.90 | 2.88 | 3.62 | 3.3% | |||
| Today 19:00 | Barco - Porrino Industrial | -3 | 6.25 | 5.75 | 1.57 | 3.0% | ||
| Today 19:00 | Barco - Porrino Industrial | -2 | 6.25 | 5.75 | 1.57 | 3.0% | ||
| Today 22:00 | New York Islanders - Carolina Hurricanes | 2 | 4.35 | 1.35 | 3.0% | |||
| Today 17:50 | Stade Francais Paris - Clermont | 48.5 | 2.20 | 1.93 | 2.8% | |||
| Tomorr. 19:00 | H. Akko - Hapoel Petah Tikva | 2.90 | 3.28 | 3.08 | 2.6% | |||
| Tomorr. 09:30 | Hungary - South Korea | 5.5 | 2.44 | 1.76 | 2.2% | |||
| Today 19:00 | Beitar Tel Aviv - Hap. Ramat Gan | 2.25 | 3.00 | 1.55 | 2.2% |
Naamanisha unaweka single as single..., sio multiple alafu upate chache..., ila huko nje kuna bookmakers unaweka bets alafu unasema stop at the winner, yaani kama ni double ikishinda ya kwanza basi asiende ya pili kwahio unatumia slips mbili zote zenye stops at the winner..., kumbuka mimi sio mdau wala I don't gamble ila kabla sijabisha kitu hakifai au kinafaa kwanza huwa nafanya due dilligence kujilizisha kwanini hakifai..Mkuu nisaidie bookmaker anayekubali single match...yaani kila mechi ijitegemee, mf. nikibet timu 4 mbili zikaenda against nillipwe za hizo mbili nilizopatia.
Umenijubu kwa lugha fasaha, pamoja na ugeni kwenye huu uwekezaji ila nimekuelewa 100%. Ngoja nika study faida na hasara yake!Meridianbet ndio smartest bookmakers hapa tz IMO!!
Ila mkuu hio ya kusema unataka ukibet mechi NNE ukishinda mbili ulipwe ni strategy mbovu kweli, inawezekana, ukishachagua timu NNE chagua option ya singles pale kwenye bet slip toa tiki pale kwenye combination
Ujinga wake sasa, hata ujishinda mechi zote payout itakua kidogo sio kama ile ya combination, let's say kwenye combination kuna laki 8, ukibet singles ukishinda zote utapewa around laki 6 na usher
Ukishinda mechi tatu ukakosa moja, now here is where the drama starts, yaani unaweza weka laki 3 ukaweka timu nne let's says zina odds 5 combined unasubiria 1.5M, ukiweka combination ukikosa moja yani ndo pesa imeenda Ivo, ukiweka singles ukikosa timu moja wanaweza kukulipa around 32000/ = kwenye io laki 3 yako, ukikosa mbili unaeza ambulia 9000/= so mi naonaga ni Ujinga tu, kumbuka hata ukipata zote kama umechagua singles hutapata 1.5M watakupa around 1.2 ivi... So its not worth it!!
Kwa kifupi wajanja wengi wameacha kubet,tangia wiki Jana haya matokeo ya mwisho wa msimu yako very unpredictableLeo Sevilla kafa...Arsenal kafaaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Direct win chalii...
Kweli kabisaa mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kifupi wajanja wengi wameacha kubet,tangia wiki Jana haya matokeo ya mwisho wa msimu yako very unpredictable
Umetapeliwa katika harakati za kutaka kutapeliSawa mkuu mi ni tapeli, je pesa yangu ingeenda ungeniitaje?
Good!!Umetapeliwa katika harakati za kutaka kutapeli
Hakuna uzuri katika utapeli na wizi. Tujikite katika shughuli za uzalishaji mali na huduma ili kukuza na kuimarisha uchumi wa taifa letu, kuchezea rasilimali muda kuhamisha pesa kutoka mkono wa kushoto kwenda wa kulia hakuongezi chochote kwenye kapu la taifa.Good!!
Hizo option za ""Half with most goal"" unazicheza live Dakika ya ngapi?Nimekua mtu wa kubet hapa na pale kwa muda mrefu bila mahesabu, yaani sijui napoteza kiasi gani wala napata kiasi gani.. Mwaka ulipoanza nikaamua nifanye kiufasaha kidogo, nikajipa miezi minne ni detail kila kitu, nijue napoteza au napata kiasi gani kwa muda huo..
Tar 1 January nikadeposit 500,000 kwenye account yangu nikaiandika kama debt mahali., nikaja na formula yangu, nafanya analysis kabla mechi hazijaanza lakini nakuja kuzibetia zikiwa live in play kutokana na trend itavyokwenda..
Nikaanza kuona mafanikio, ile laki 5 nikafanikiwa kuirejesha ilhali Nina pesa kwenye account yangu, nikatafuta safe deposit(sanduku la chuma) ambalo nikiwa naweka pesa zote ambazo nakua nime withdraw nikishinda, yani naweka zote sitoi ata hela ya bia kwenye hela niliyo withdraw...
Kuna ups and downs, kuna kipindi pesa kwenye account inaisha najikopesha tena naweka bila kugusa hela ya kwenye sanduku, wiki Jana nilifanikiwa kujilipa madeni yote niliyojikopesha, na kufanya deposit kwenye sanduku langu nikabaki na 473,000 kwenye account ambayo yote nimeipoteza
The thing is I feel like my game have been down this week and I decided to call it a day, sheria kubwa ya gambling inasema 'know when to walk away' and i feel its time.. Nimepanga sitabet tena mpaka ligi zianze august
Leo nimevunja sanduku langu na kupata ina kama 15.6M.... Nimesha draft plan ya kuifanyia 15M hii laki 6 ngoja nipambane na hii weekend kwanza
Hizi ni baadhi za bets za April tu maana nimeshindwa kuleta za kuanzia jan huko ingekua kazi kubwa, nimeleta Uzi huu nadhani kuna mtu anaweza jifunza kitu hapa, be responsible with your hard earned money, hakikisha you keep your records
Na hawa wazee hawana utani mwezi March niliweka M1 timu moja wakapita nayo
Betting is addictive be careful, bet what you can afford to lose....
Nakuelewa sana Mkuu.Kwenye Bold umeshaongea utafanya kitu kitakachosaidia kizazi chako.., something ambayo ni fair playing field na ina guarantee kubwa na moderate risk.., ungesema huo mtaji wote utaendelea na strategy zako , hata kama unatumia money management schemes, na stake plans in the long run utapoteza tu..., why ? the odds are staked against you ?; hata ukipata bilioni leo if you carry on long enough utapoteza au hata ukipata unaweza ukajikuta in ten years profit / loss una faida ya 1M sasa gawia hio na 10 years its about Laki moja kwa mwaka faida..., Je hio faida is it worth ups and down emotionally ? au ni Chanzo cha Ugonjwa wa Moyo...
That's why nimesema this is leisure sio biashara ya kutegemea and its addictive as hell..., na the more you win the more you think you are unbeatable, increase stakes and one you get hit...., you will never forget both financially and emotionally