Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

Kuwauzia watu tips ni Utapelii piaaa..
hapana unatumia knowledge yako kuchagua teams zenye uwekezano haulazimishi mtu na mtu anakuja kwako sababu ya knowledge yako team gani at a given day ina probability ya kushinda..., ila ukiongelea kama ni ethical.., its debatable sababu kwangu mimi hata kina Sportspesa, Mzuka n.k. inachokifanya kwa jamii its not ethical
 
Nilichogundua una madini ila huu uzi nafikiri sio sahihi kwa unachokitoa ..ila ulipaswa kutoa hilo pindi kwenye uzi wa how to maximize profit on sports gambling ingefaa ila huu uzi ni wa kufungua champagne baada ya mwenzetu kupitia ups and down katika kumaximize profit, HOW? Ndo mimi na wewe tumuulize hapa ila sio kumfundisha nini afanye ili na sisi tuwe inspired unless nenda kwenye forex ukashushe hizi nondo.
Aiseeeee
 
Emotionally and time wastage? Sasa mkuu Nina M15 hapa we unaniambia nimepoteza muda? Haha
leo na sasa una 15M kesho na kesho kutwa ? na hio graph yako ipoje sitashangaa kama ilifika mpaka 50M na ikashuka mpaka 15M

mwenyewe nilishafanya research kwa kutumia misimu iliyopita ya championship just to prove a point "chasing a draw" (paper trading, pesa yangu siwezi kumpa bookie kirahisi rahisi) kwa league ambayo ina percentage kubwa ya Draw kwa kutumia timu zote kwa kuanza na 500usd baada ya miezi sita tu ilipatikana zaidi ya 3000usd, na hapo hakuna game moja niliyoweka zaidi ya 100usd; kwenda misimu mingine kuona kama hii ni replicated kuna msimu Forest ilikwenda 20 games without a Draw.., just imagine kama unatumia progressive system ya kurecover loss inabidi uweke kiasi gani kwa hio timu ili u-break even ?

Moral of the story Ups and Downs sio within season tu, bali season to season
 
Time wastage?? [emoji23][emoji23] bro you need some milk.
Unajua maana ya long term loss ?, akiendelea betting no matter the system within next 5 years or less atakuwa amewapa hio 15M na zaidi hata akiwapa tuseme 14M faida ya 1M kwa muda wote huo kama sio time wastage ni nini ?

Kumbuka hapa hafanyi kama leisure kama mtu anavyokunywa bia na kuburudika hapa yeye ni biashara (investment to gain profit);
 
Umekuza kipato chako bila kufanya kazi (kuzalisha huduma / bidhaa), kwa lugha nyingine tunaita wizi / utapeli. Na ndio maana kuna vita inapigwa kuzifungia hivi vichaka vya wezi na matapeli.
mwisho wa siku what matters ni una nini mfukoni hio pesa aliyo ipata akienda kunywa chai anakuza kipato na kutengeneza mnyororo mkubwa wa thamani . au ...huku ww na kuchangia pato bado kama unalipa kodi unataka pato la aina gani au uzalishaji wa aina gani .....mwisho wa siku winner takes it all ...bla bla hazina msingi ....welfare at its best
 
Haha naona napoteza muda wangu hapa, hebu Nipe mfano hata mmoja ambapo kampuni mbili zime lay off odds tofauti ambapo ukiweka pesa huku na huku lazima upate faida???? Never!!! Hapo kumbuka kuna draw!!!

Ukinipa mfano hata mmoja ntakutumia 100k sasa ivi na naomba kila mtu awe shahidi
Naomba unitumie kwa njia ya mmpesa takupa namba ya wakala....

Sure Bets - TOP 10
With sure bets you should always win. Use the calculator icon to count stakes. Sure bets are calculated from across all bookmakers we cover on OddsPortal. We only list 10 most profitable sure bet opportunities.
Want more than 10 sure bets? GET MORE >>

O/U 2.25TotalOverUnderProfit
Soccer» Israel»Leumit League
O/U 5.5TotalOverUnderProfit
Hockey» World»WCH IA
1X21X2Profit
Soccer» Israel»Leumit League
O/U 48.5TotalOverUnderProfit
Rugby Union» France»Top 14
O/U 2, 1st PeriodTotalOverUnderProfit
Hockey» USA»NHL
EH -2Total1X2Profit
EH -3Total1X2Profit
Soccer» Spain»Tercera Division - Group 1
1X21X2Profit
Soccer» Italy»Serie C - Group B
Home/Away12Profit
O/U 22.5 FramesTotalOverUnderProfit
Snooker» World»World Championship
Today
21:00
Hawkins B. - Wilson K.22.5
2.85

1.76
8.8%
Today
16:30
Trump J. - Ding J.
1.40

4.00
3.7%
Today
19:30
Sambenedettese - Gubbio
2.90

2.88

3.62
3.3%
Today
19:00
Barco - Porrino Industrial-3
6.25

5.75

1.57
3.0%
Today
19:00
Barco - Porrino Industrial-2
6.25

5.75

1.57
3.0%
Today
22:00
New York Islanders - Carolina Hurricanes2
4.35

1.35
3.0%
Today
17:50
Stade Francais Paris - Clermont48.5
2.20

1.93
2.8%
Tomorr.
19:00
H. Akko - Hapoel Petah Tikva
2.90

3.28

3.08
2.6%
Tomorr.
09:30
Hungary - South Korea5.5
2.44

1.76
2.2%
Today
19:00
Beitar Tel Aviv - Hap. Ramat Gan2.25
3.00

1.55
2.2%
More sure bets
 
Mkuu nisaidie bookmaker anayekubali single match...yaani kila mechi ijitegemee, mf. nikibet timu 4 mbili zikaenda against nillipwe za hizo mbili nilizopatia.
Naamanisha unaweka single as single..., sio multiple alafu upate chache..., ila huko nje kuna bookmakers unaweka bets alafu unasema stop at the winner, yaani kama ni double ikishinda ya kwanza basi asiende ya pili kwahio unatumia slips mbili zote zenye stops at the winner..., kumbuka mimi sio mdau wala I don't gamble ila kabla sijabisha kitu hakifai au kinafaa kwanza huwa nafanya due dilligence kujilizisha kwanini hakifai..

The only way of making cash kwenye football..., just became a bookmaker, au start a Tips Selling Platform...,
 
Leo Sevilla kafa...Arsenal kafaaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Direct win chalii...
 
Meridianbet ndio smartest bookmakers hapa tz IMO!!

Ila mkuu hio ya kusema unataka ukibet mechi NNE ukishinda mbili ulipwe ni strategy mbovu kweli, inawezekana, ukishachagua timu NNE chagua option ya singles pale kwenye bet slip toa tiki pale kwenye combination

Ujinga wake sasa, hata ujishinda mechi zote payout itakua kidogo sio kama ile ya combination, let's say kwenye combination kuna laki 8, ukibet singles ukishinda zote utapewa around laki 6 na usher

Ukishinda mechi tatu ukakosa moja, now here is where the drama starts, yaani unaweza weka laki 3 ukaweka timu nne let's says zina odds 5 combined unasubiria 1.5M, ukiweka combination ukikosa moja yani ndo pesa imeenda Ivo, ukiweka singles ukikosa timu moja wanaweza kukulipa around 32000/ = kwenye io laki 3 yako, ukikosa mbili unaeza ambulia 9000/= so mi naonaga ni Ujinga tu, kumbuka hata ukipata zote kama umechagua singles hutapata 1.5M watakupa around 1.2 ivi... So its not worth it!!
Umenijubu kwa lugha fasaha, pamoja na ugeni kwenye huu uwekezaji ila nimekuelewa 100%. Ngoja nika study faida na hasara yake!
 
Nimekua mtu wa kubet hapa na pale kwa muda mrefu bila mahesabu, yaani sijui napoteza kiasi gani wala napata kiasi gani.. Mwaka ulipoanza nikaamua nifanye kiufasaha kidogo, nikajipa miezi minne ni detail kila kitu, nijue napoteza au napata kiasi gani kwa muda huo..

Tar 1 January nikadeposit 500,000 kwenye account yangu nikaiandika kama debt mahali., nikaja na formula yangu, nafanya analysis kabla mechi hazijaanza lakini nakuja kuzibetia zikiwa live in play kutokana na trend itavyokwenda..

Nikaanza kuona mafanikio, ile laki 5 nikafanikiwa kuirejesha ilhali Nina pesa kwenye account yangu, nikatafuta safe deposit(sanduku la chuma) ambalo nikiwa naweka pesa zote ambazo nakua nime withdraw nikishinda, yani naweka zote sitoi ata hela ya bia kwenye hela niliyo withdraw...

Kuna ups and downs, kuna kipindi pesa kwenye account inaisha najikopesha tena naweka bila kugusa hela ya kwenye sanduku, wiki Jana nilifanikiwa kujilipa madeni yote niliyojikopesha, na kufanya deposit kwenye sanduku langu nikabaki na 473,000 kwenye account ambayo yote nimeipoteza

The thing is I feel like my game have been down this week and I decided to call it a day, sheria kubwa ya gambling inasema 'know when to walk away' and i feel its time.. Nimepanga sitabet tena mpaka ligi zianze august

Leo nimevunja sanduku langu na kupata ina kama 15.6M.... Nimesha draft plan ya kuifanyia 15M hii laki 6 ngoja nipambane na hii weekend kwanza

Hizi ni baadhi za bets za April tu maana nimeshindwa kuleta za kuanzia jan huko ingekua kazi kubwa, nimeleta Uzi huu nadhani kuna mtu anaweza jifunza kitu hapa, be responsible with your hard earned money, hakikisha you keep your records

Na hawa wazee hawana utani mwezi March niliweka M1 timu moja wakapita nayo

Betting is addictive be careful, bet what you can afford to lose....
Hizo option za ""Half with most goal"" unazicheza live Dakika ya ngapi?
 
Kwenye Bold umeshaongea utafanya kitu kitakachosaidia kizazi chako.., something ambayo ni fair playing field na ina guarantee kubwa na moderate risk.., ungesema huo mtaji wote utaendelea na strategy zako , hata kama unatumia money management schemes, na stake plans in the long run utapoteza tu..., why ? the odds are staked against you ?; hata ukipata bilioni leo if you carry on long enough utapoteza au hata ukipata unaweza ukajikuta in ten years profit / loss una faida ya 1M sasa gawia hio na 10 years its about Laki moja kwa mwaka faida..., Je hio faida is it worth ups and down emotionally ? au ni Chanzo cha Ugonjwa wa Moyo...

That's why nimesema this is leisure sio biashara ya kutegemea and its addictive as hell..., na the more you win the more you think you are unbeatable, increase stakes and one you get hit...., you will never forget both financially and emotionally
Nakuelewa sana Mkuu.
 
Back
Top Bottom