Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne


Usiwaogopeshe watu kwasababu wewe ilikushinda.people make fortunes out of gambling duniani kote na hii ni proffession kama nyingine tu,it takes alot of hours and patiency to master.wengi wanafeli sababu wanataka kutengeneza hela ya haraka kwa mtaji mdogo lakini pia hawataki kuinvest muda kwenye kupata taarifa sahihi za league trends
 
Mkuu app gani hii
 
Mkuu I repeat no one makes long term money in any football system long term.., its mathematically impossible.., nishafanya research ya all so called systems iwe fixed betting au kutumia kina fibonacci, martingale, hadi kwenye in play backing and laying..., watu wanao make fortunes ni bookmakers na wanaouza system kwa watu juu ya betting.

huwezi ukasema unamake fortune hata ungekuwa una billion ishirini na unabet Timu kama Real Madrid au Man City au Barcelona zenye 95% za kushinda odds sababu ni ndogo hata ukishinda mara 19 ile ya 20 bahati mbaya ukishindwa ukipiga hesabu if you are lucky unaweza ukajikuta umeshinda 10% au umebreak even realistically utajikuta umeloose big time; na hapo kama una-bet Africa haujaweka kodi (Tax on Winning) kwahio hizo odds unazoziona after Tax hio 1.5 au 2.5 sio hio bali ni way less....Its not a business if anytime you can loose all of your cash niambie ni nani kazi yake ni betting na anaishi kwa hizo betting na sio kuuza vitabu, systems au Tips
 
[emoji38][emoji28][emoji23] umetisha mkuu
 
Kubet bhana ni disaster.. siku hiyo nimebakisha timu moja nile 950K, nikabeba washkaji pamoja na mchuchu wangu tukapige gambe maana hela ipo na first half results timu yangu ilikuwa inaongoza.. kula bata kwa sana nikisubiri mpunga wangu kwenye simu nikautoe chap kwa m pesa... weeeeeeee kilichotokea Allah anajua.
 
Hahaaaaa
 
Asante kwa kunipa pole, ila ndo hivo nimepata kiasi na ntafanya kitu ambacho kitakuja kusaidia hata kizazi changu

The house always win huh? Ila naamini I'll defy the odds, kwasababu najua Nina displine ya hatari... Ngoja niachane na your negativity nifurahie nilichonacho sasa

Tukutane msimu ukianza august, cheers
 
Mkuu jitahidi uweke trend ya kujua hesabu zako, hata kama ni kwa monthly basis
 
Mkuu ukiwa na displine ana ela yako afu ukawa mvumilivu, matunda yapo
 
Ila si kuna turbo payout, unaweza Kuwithdraw kiasi flan kabla ya mechi kuisha
 
Nimeielewa pointi yako mkuu, unaweza ku a mtaalam wa mambo ya fedha wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…