Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

[emoji23][emoji23] huwezi amini nilianziaga 20K nikapanda mpaka laki 6 ila kazi ilivyoanza mpaka sasa nina senti tu.
Tamaa ndo mchawi.
boss tupe uzoefu, ni option ipi ilikusaidia kukuza mtaji
 
Raha ya kubet uweke mzigo wa maana,maana payback yake ni kubwa ukitusua.Hongera kwa kubahatika kukusanya hicho kiasi maana wengine tumechezea vipigo hadi tumestaafu[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
 
ulikuwa unatumia mkakati gani mkuu... tupeane uzoefu!
Mkakati niliweka mwepesi tu

Namba of bet kwa mwezi nilizilimit ziwe 6
Angalau kila week nibet mara moja..nakama week hilo lina game katikati ya week basi bet ziwe mbili kwa week
Nilijiwekea maximum odds ni 1.6 na minimum 1.5
Option nilijichagulia mbili tu double chance na 10 min draw
Nikaanza kazi sasa
 
Sijawahi cheza magoli mkuu ni direct win pekee ila upepo ulikaa wiki kama mbili mfululizo ila ilipoingia ile international break kwamba Mataifa yanacheza mechi za urafiki nikaendelea kucheza weeee! Hapo ndo show ilipogeuka nikapaniki ndo nikapotea zaidi.

Kuhusu mbinu mimi huwa naangalia form ya mechi 5 za home team akiwa away.

Yani mfano leo Manchester united - chelsea
Naangalia form ya mechi tano za united alipokua away kuna trend naangalia si rahis kukuelekeza kwa hapa ila mfano hii gemu mimi nimeiona kuwa chelsea anashinda.
boss tupe uzoefu, ni option ipi ilikusaidia kukuza mtaji
 
Jamani naomba ushauri ni kampuni gan nzuri ya kubet yenye single bet. Maana hawa superbet naona kodi kubwa
 
Hujui unachoongea mkuu sure odds hakuna kitu kama hicho kuna sure bets maana yake ni sports arbitrage unatumia odds za kampuni tofauti mbili ambazo odds zake ni zaidi ya 100 percent unabet kampuni hii kiasi fulani timu A kushinda na Kampuni nyingine Timu A kushindwa hence no matter the outcomes unashinda pesa

Tatizo letu binadamu kitu ambacho hujui ukiambiwa unaona mtu anakusema vibaya badala ya kuuliza huenda ukajua kitu.., nobody knows everything and even a Genius asks questions..., na kila anayekwambia kitu sio negativity bali ana mtizamo tofauti kwahio jibu kwa Hoja kwanini betting ni long term business..

huwezi kulinganisha risks involved kwenye kilimo a betting..., odds za ukilima sehemu yenye mvua nyingi, na uwezekano wa kumwagilizia propability ya kupanda mchicha ukavuna bangi sio sawa na probability ya kubet mfano Barcelona msimu mzima kwamba wanashinda the reality is mwenye kubet mwisho wa siku atalia
 
unadhani kati ya hizo option mbili ulizotumia ni ipi yenye unafuu wa kuwin! dah kazi ngumu sana hii
 
Princess bet wako vizuri na kodi yako wanakulipia wewe kwa mfumo wa bonus..
Mfano mechi ya odds 2.0 ukiweka 3000 unapata 6000 kama ilivyo.
Jamani naomba ushauri ni kampuni gan nzuri ya kubet yenye single bet. Maana hawa superbet naona kodi kubwa
 
Nilichogundua una madini ila huu uzi nafikiri sio sahihi kwa unachokitoa ..ila ulipaswa kutoa hilo pindi kwenye uzi wa how to maximize profit on sports gambling ingefaa ila huu uzi ni wa kufungua champagne baada ya mwenzetu kupitia ups and down katika kumaximize profit, HOW? Ndo mimi na wewe tumuulize hapa ila sio kumfundisha nini afanye ili na sisi tuwe inspired unless nenda kwenye forex ukashushe hizi nondo.
 
Hujakosea ila Chelsea kaniua kwenye stake kubwa mara 4
[emoji23][emoji23][emoji23] hii kitu sio mara ya kwanza kukuona unaandika, pia kama sikosei ulipigaga 10M kwa stake ya 200k au nakosea ulichezaga ile ligi ya england
 
Tatizo hawawezi wakakuelewa boss ni mtihani saaanaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…