Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

Wall street Umenikumbusha shairi LA Marehem Ken Rogers

You've got to know when to hold 'em
Know when to fold 'em
Know when to walk away
And know when to run
You never count your money
When you're sittin' at the table
There'll be time enough for countin'
When the dealin's done
 
hivi unajua probability ya kushinda mkeka ? Accumulators, hizi unajua kwamba bookmakers wanapenda mikeka kuliko single bets sababu ndio zinawapatia pesa... ? Its all in mathematics mkuu, unajua kila timu unayoongeza na uwezekano unapungua kiasi gani ? unajua loosers wangapi kwa wiki wanasema timu moja tu yaani timu moja ilinikosesha pesa ? Narudia bet kama leisure not a money making scheme.., kama unataka iwe money making tengeneza tips n.k. uwauzie watu

Kwa hiyo mzee ukibet singles kuna uwezekano wakugenerate mihela?
 
Karibu kwenye kilimo ndugu ndio utajua kuwa kilimo ni zaidi ya kubet....mwaka jana jua iliangamiza mipunga, mwaka huu mafuriko yamebeba mpungana yaliyopatikana bei ndio imekuwa ya Hasara ni mara kumi napataga pesa kwenye mtandao Forex na betting 100k havinipgag chenga ila kilimo ni kama vikoba haina faida yoyote unawek 3M unakuja kupata 5M after six months or more. Mtu anaekushaur kuhusu kilimo hakutakii mema anataka uwe maskn wa kutupwa usione tu watu wanapga picha wakiwa mashambani wanaopata faida ni wanaolima mashamba makubwa 50 acres and above ila wa 1-5acres bora bora ufanye shuguli zngne unaweza ukalima vizur kila kitu kikaa poa ngoja uje uvune utavuna gunia 5 alaf kitu kilishona hatar, nyie sikien tu kwenye whatsapp UCHAWI ni noma.
Betting, Forex and other online businesses are the best businesses i can say coz zna risk kubwa na kipato kikubwa.
Unalima sehemu ambayo majira hayatabiliki unategemea nini ? Climate Change kwa sasa imefanya yake wewe bado unaendelea kuweka pesa kwenye probability ya pata potea..., ila ukitaka kulima ondoa unknowns, mwagilizia badala ya kutegemea mvua..., lima mazao kulingana na eneo lako, lima mboga au maua ambayo hayaitaji eneo kubwa...,

Pili unaweza kuangalia haya majanga in different angle...kama mvua zikiwa nzuri kila mtu akapata mazao mengi bei itakuwa mbaya (supply ikiwa kubwa prices zinashuka) na kama hali ni mbaya wengi wakapigwa mazao yakawa machache basi utapata pesa hapo....

By the way aliyekwambia uende kulima ni nani ?, unpredictability ya kilimo, au unyonyaji wa kwenye kilimo (always mkulima ananyonywa) does not change the fact that betting is unpredictable, the odds are against you in the long run na in the end the house always wins....

Huwezi kuniambia probability ya ku-back Barcelona msimu mzima mechi zote mwisho wa msimu ukawa umeshinda ni sawasawa na probability ya kupanda mchicha ukavuna Bangi....
 
Mwambie kwamba watu tunaobet ndiowatengenezaji wakubwa wa ajira hapa nchini. Mkumbushe kwamba makampuni ya betting yameajiri mamilioni ya watanzania kama mafundi, mawakala, masekretaries, wahudumu wa ofisi na ajira nyingine kedekede. Sisi tukiacha kubet, ajira zote hizi zitapotea. Hajui kuunganisha nukta huyo mshamba, anahitaji kuelimishwa...hakwenda shule. Angekuwa ameenda shule angefahamu maana ya multiplier effect.

Angalia mfumo mzima sio individuals....

Kuna kitu kinaitwa the broken window fallacy....... Unaweza kuona kwa mtoto kuvunja dirisha ni jambo zuri kwa uchumi..., kwamba mwenye dirisha ataita fundi ambaye atalipwa, mwenye dirisha atauza n.k. kwahio kwa mtoto kuvunja kioo watu wamepata ajira..., ila hio notion inasahau kwamba huyo aliyenunua dirisha jipya huenda hizo pesa badala ya kununua dirisha angenunua viatu...

Gambling kwenye uchumi ina matatizo yafuatayo
Crime, watu kupoteza ajira kwa utendaji mbovu, kufirisika, na pesa nyingi za wacheza kamali zinatoka kwa marafiki na ndugu....., watu wengi wanadokoa makazini kwao ili kukidhi addiction yao,
 
Unalima sehemu ambayo majira hayatabiliki unategemea nini ? Climate Change kwa sasa imefanya yake wewe bado unaendelea kuweka pesa kwenye probability ya pata potea..., ila ukitaka kulima ondoa unknowns, mwagilizia badala ya kutegemea mvua..., lima mazao kulingana na eneo lako, lima mboga au maua ambayo hayaitaji eneo kubwa...,

Pili unaweza kuangalia haya majanga in different angle...kama mvua zikiwa nzuri kila mtu akapata mazao mengi bei itakuwa mbaya (supply ikiwa kubwa prices zinashuka) na kama hali ni mbaya wengi wakapigwa mazao yakawa machache basi utapata pesa hapo....

By the way aliyekwambia uende kulima ni nani ?, unpredictability ya kilimo, au unyonyaji wa kwenye kilimo (always mkulima ananyonywa) does not change the fact that betting is unpredictable, the odds are against you in the long run na in the end the house always wins....

Huwezi kuniambia probability ya ku-back Barcelona msimu mzima mechi zote mwisho wa msimu ukawa umeshinda ni sawasawa na probability ya kupanda mchicha ukavuna Bangi....
Excellent! Comments KONKI kama hizi ndizo zinazotakiwa humu. Kama huyo jamaa atashindwa kukuelewa, basi arudi darasani akasome. Kilimo is more than gambling.
 
if you dont have enough technology it is a real gambling arthematically and geometrically too. lets call it like that nigger
 
Angalia mfumo mzima sio individuals....

Kuna kitu kinaitwa the broken window fallacy....... Unaweza kuona kwa mtoto kuvunja dirisha ni jambo zuri kwa uchumi..., kwamba mwenye dirisha ataita fundi ambaye atalipwa, mwenye dirisha atauza n.k. kwahio kwa mtoto kuvunja kioo watu wamepata ajira..., ila hio notion inasahau kwamba huyo aliyenunua dirisha jipya huenda hizo pesa badala ya kununua dirisha angenunua viatu...

Gambling kwenye uchumi ina matatizo yafuatayo
Crime, watu kupoteza ajira kwa utendaji mbovu, kufirisika, na pesa nyingi za wacheza kamali zinatoka kwa marafiki na ndugu....., watu wengi wanadokoa makazini kwao ili kukidhi addiction yao,

Mkuu kwa hayo maneno niliyobold hapo juu, sijakuelewa una maana gani. Kwa mfano, mtu unafilisikaje wakati unaweka stake that you can afford to lose. Unataka kunambia kwamba, kwa mfano, mtu huuza nyumba au gari yake au akachota fedha zote kwenye akaunti yake akaenda kubetia? You can be serious mkuu.
 
Addiction ni ugonjwa, watu ambao wapo addicted sio kwa uamuzi..., utaweka stake which you can afford to lose, je uki-lose utaacha ?, its unpredictability ya gambling / betting which makes it risky....

Pili emotiaonally the ups and downs leo umepata kesho umekosa inayopelekea mood swings na watu kugombana na familia zao...

As leisure ni mchezo mzuri lakini kama biashara ni risky..., ndio maana huwezi kwenda benki na business plan ya kubet ukapewa loan..., kama kweli unataka guarantee ya kupata kwenye betting become the house (wewe ndio toa odds n.k.) sio mchezaji, bali kuwa mchezeshaji
 
Kweli kabisa, betting ni pasua kchwa mkuu. Lakini unachotakiwa kujua ni kuwa usifanye betting kama njia ya kujipatia kipato....ifanye tu kama mchezo wa kawaida; otherwise utaliwa mpaka utaitika: abeee!!! Be careful, betting is addictive!!

fanya kama umeeenda kunywa bia ili isikupe mawazo
 
Kitu na box
20200722_151647.jpg
 
Unalima sehemu ambayo majira hayatabiliki unategemea nini ? Climate Change kwa sasa imefanya yake wewe bado unaendelea kuweka pesa kwenye probability ya pata potea..., ila ukitaka kulima ondoa unknowns, mwagilizia badala ya kutegemea mvua..., lima mazao kulingana na eneo lako, lima mboga au maua ambayo hayaitaji eneo kubwa...,

Pili unaweza kuangalia haya majanga in different angle...kama mvua zikiwa nzuri kila mtu akapata mazao mengi bei itakuwa mbaya (supply ikiwa kubwa prices zinashuka) na kama hali ni mbaya wengi wakapigwa mazao yakawa machache basi utapata pesa hapo....

By the way aliyekwambia uende kulima ni nani ?, unpredictability ya kilimo, au unyonyaji wa kwenye kilimo (always mkulima ananyonywa) does not change the fact that betting is unpredictable, the odds are against you in the long run na in the end the house always wins....

Huwezi kuniambia probability ya ku-back Barcelona msimu mzima mechi zote mwisho wa msimu ukawa umeshinda ni sawasawa na probability ya kupanda mchicha ukavuna Bangi....
Agr ya social media hyo karibu kwenye field uone ata sisi tuliingia na gear ya kununua altezza within 3months kw kujifanya elimu ya university imkolea na kuwaona wakukima weng wanapoteza muda. Asiwadanganye mtu kilimo na betting ni yale yale tu ila kw wanaitak kubet ardhn karibun ila huku mpka NDUMBA inahusika sana tofaut na kwa kanjibahi.
 
Aisee kweli hapa ninampigia mbuzi gitaa..., wale wakulima wa maua Kenya wanaopeleka maua England wanafanya betting, au yule anayelima mchicha na bamia kwenye matuta kina mama wanakuja kila wiki mbili kununua tuta anafanya betting ?

Kilimo bila kuwa na soko na kutegemea mvua ni bahati nasibu.., ukitoa hizo unknowns sio bahati nasibu tena..., BALI..., betting ya aina yoyote ni gambling unless otherwise wewe ni Bookie (the House) then una guarantee in the long run kuibuka mshindi (sadly mathematically that is a fact)
 
hongera mkuu ila sijamuona aseno humu kwenye mikeka yako,tatizo nini mdau
 
Back
Top Bottom