tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Arsenal gari la mkaa mkuuhongera mkuu ila sijamuona aseno humu kwenye mikeka yako,tatizo nini mdau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Arsenal gari la mkaa mkuuhongera mkuu ila sijamuona aseno humu kwenye mikeka yako,tatizo nini mdau
kwamba aseno ni baiskeli ya mabarafuArsenal gari la mkaa mkuu
Hahaaa pole sana mkuu.Betting Ni noma juzi tu nimekula laki tisa kwa ten nikasema nimwige jamaa na Mimi nifikishe kum na tano millioni kilichonikuta mpaka Sasa Ni Siri yangu tu
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Trip Shamba,Arsenal gari la mkaa mkuu
Huyo ni mnigeria alistakeDu! Arsenal kumamae sana aisee. Kachana mkeka wako 🙄 🙄 🙄 🙄 🙄 🙄
Mnatuharibia vijana hawataki kazi, wamebakia kubet!!
umetuinspire tunaobeti
Nimekua mtu wa kubet hapa na pale kwa muda mrefu bila mahesabu, yaani sijui napoteza kiasi gani wala napata kiasi gani.. Mwaka ulipoanza nikaamua nifanye kiufasaha kidogo, nikajipa miezi minne ni detail kila kitu, nijue napoteza au napata kiasi gani kwa muda huo..
Tar 1 January nikadeposit 500,000 kwenye account yangu nikaiandika kama debt mahali., nikaja na formula yangu, nafanya analysis kabla mechi hazijaanza lakini nakuja kuzibetia zikiwa live in play kutokana na trend itavyokwenda..
Nikaanza kuona mafanikio, ile laki 5 nikafanikiwa kuirejesha ilhali Nina pesa kwenye account yangu, nikatafuta safe deposit(sanduku la chuma) ambalo nikiwa naweka pesa zote ambazo nakua nime withdraw nikishinda, yani naweka zote sitoi ata hela ya bia kwenye hela niliyo withdraw...
Kuna ups and downs, kuna kipindi pesa kwenye account inaisha najikopesha tena naweka bila kugusa hela ya kwenye sanduku, wiki Jana nilifanikiwa kujilipa madeni yote niliyojikopesha, na kufanya deposit kwenye sanduku langu nikabaki na 473,000 kwenye account ambayo yote nimeipoteza
The thing is I feel like my game have been down this week and I decided to call it a day, sheria kubwa ya gambling inasema 'know when to walk away' and i feel its time.. Nimepanga sitabet tena mpaka ligi zianze august
Leo nimevunja sanduku langu na kupata ina kama 15.6M.... Nimesha draft plan ya kuifanyia 15M hii laki 6 ngoja nipambane na hii weekend kwanza
Hizi ni baadhi za bets za April tu maana nimeshindwa kuleta za kuanzia jan huko ingekua kazi kubwa, nimeleta Uzi huu nadhani kuna mtu anaweza jifunza kitu hapa, be responsible with your hard earned money, hakikisha you keep your records
Na hawa wazee hawana utani mwezi March niliweka M1 timu moja wakapita nayo
Betting is addictive be careful, bet what you can afford to lose....View attachment 1082595View attachment 1082596View attachment 1082597View attachment 1082598View attachment 1082599View attachment 1082600View attachment 1082601View attachment 1082602View attachment 1082603View attachment 1082604View attachment 1082605MERIDIAN SIO
Kuna siku nimebet mechi 15 afu nikaweka 500 tu nikala laki 270,,kilichofuta mpaka Sasa naomba po[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daaah mkuu hebu uwe unakuja unatupa na sisi hizo odds maana wengine hatujawahi shinda
Plan gani hiyo mkuu?Ngoja na mim niitumie hii plan
Mkuu tupe mrejesho hivi bdo unapesa kwenye sanduku la chuma? [emoji23][emoji23]Nimekua mtu wa kubet hapa na pale kwa muda mrefu bila mahesabu, yaani sijui napoteza kiasi gani wala napata kiasi gani.. Mwaka ulipoanza nikaamua nifanye kiufasaha kidogo, nikajipa miezi minne ni detail kila kitu, nijue napoteza au napata kiasi gani kwa muda huo..
Tar 1 January nikadeposit 500,000 kwenye account yangu nikaiandika kama debt mahali., nikaja na formula yangu, nafanya analysis kabla mechi hazijaanza lakini nakuja kuzibetia zikiwa live in play kutokana na trend itavyokwenda..
Nikaanza kuona mafanikio, ile laki 5 nikafanikiwa kuirejesha ilhali Nina pesa kwenye account yangu, nikatafuta safe deposit(sanduku la chuma) ambalo nikiwa naweka pesa zote ambazo nakua nime withdraw nikishinda, yani naweka zote sitoi ata hela ya bia kwenye hela niliyo withdraw...
Kuna ups and downs, kuna kipindi pesa kwenye account inaisha najikopesha tena naweka bila kugusa hela ya kwenye sanduku, wiki Jana nilifanikiwa kujilipa madeni yote niliyojikopesha, na kufanya deposit kwenye sanduku langu nikabaki na 473,000 kwenye account ambayo yote nimeipoteza
The thing is I feel like my game have been down this week and I decided to call it a day, sheria kubwa ya gambling inasema 'know when to walk away' and i feel its time.. Nimepanga sitabet tena mpaka ligi zianze august
Leo nimevunja sanduku langu na kupata ina kama 15.6M.... Nimesha draft plan ya kuifanyia 15M hii laki 6 ngoja nipambane na hii weekend kwanza
Hizi ni baadhi za bets za April tu maana nimeshindwa kuleta za kuanzia jan huko ingekua kazi kubwa, nimeleta Uzi huu nadhani kuna mtu anaweza jifunza kitu hapa, be responsible with your hard earned money, hakikisha you keep your records
Na hawa wazee hawana utani mwezi March niliweka M1 timu moja wakapita nayo
Betting is addictive be careful, bet what you can afford to lose....View attachment 1082595View attachment 1082596View attachment 1082597View attachment 1082598View attachment 1082599View attachment 1082600View attachment 1082601View attachment 1082602View attachment 1082603View attachment 1082604View attachment 1082605
Alinyukwa huyo nahisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtoa mada yupo!? Naona kaingia mitini
Si unawasaidia kutangaza kamaliNimekua mtu wa kubet hapa na pale kwa muda mrefu bila mahesabu, yaani sijui napoteza kiasi gani wala napata kiasi gani.. Mwaka ulipoanza nikaamua nifanye kiufasaha kidogo, nikajipa miezi minne ni detail kila kitu, nijue napoteza au napata kiasi gani kwa muda huo..