Namshakende
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 867
- 2,275
Aisee mko serious sana wakuu🙆🏽♀️mimi nilimtengenezea wife dashboard ya matumizi ili awe ana log kila hela anayotumia na ametumia kufanya nini, yeye kazi yake ni ku log tu tena anatumia simu na internet ana log kwenye cloud database halafu mimi nafanya time driven analysis maana mihamala yote imerekodiwa in real time,
sasa summary ya matumizi ni date driven mimi naweka tu date range halafu inaji_generate kwa kila category, kama ni matumizi ya siku naweka same day date range
changamoto niliyoipata ni wife ku log tu mihamala, sikunyingine inapita anasema kasahau, wazee sijua kama kuchukua simu na kiandika maneno mawili na hela halafu unabofya save inaweza kuleta mgogoro kwenye ndoa. halafu sasa hiyo mihamara anaifanya yeye kwahiyo lazima aiandike yeye nikifanya mimi nachukua simu yangu na rekodi
kuna mpango nimeuandaa wa kushugulikia hilo tatizo ila somehow najua hela inakoendaga, haya ni matumizi ya kilasiku nyumbani yaani kila hela anayotumia hapo ni matumizi tu, mapato na faida yako sehemu nyingine.
Huwezi jua unakoenda kama hujui ulikotoka, ukiwa una mihamala yote uliyoifanya na una akili timamu, huwezi shindwa kuboresha maisha yako,
huo usiriazi unakujaga wenyewe tu bills zikiongezekaAisee mko serious sana wakuu🙆🏽♀️
Dahh mpe notebook awe anaandika weekly utajaza mwenyewe, mgogoro wa aina hiyo sio poa!huo usiriazi unakujaga wenyewe tu bills zikiongezeka
Hiyo inaitwa serious kwenye hakuna. Uliza mtu yeyote aliyefanikiwa kama aliwahi kuwa /tengeneza hiyo kitu. Tafuta pesa wape familia/wanaokuhusu/tegemezi wako watumie. Achana na mambo ya sijui Excel wakati kuna free apps kibao lakini nazo hazita kusaidia kama wewe binafsi hiwezi kuji controlAisee mko serious sana wakuu🙆🏽♀️
huo usiriazi unakujaga wenyewe tu bills zikiongeAisee mko serious sana wakuu🙆🏽♀️
saivi nina miezi miwili nilimwambia asitishe kurekodi, sababu ni kutokiwa makini na kurekodi, mara asahau mihamala mara sikunipite sioni muhamala wakati kila siku lazima atumie hela. bado naweka mazingira sawa ili aanze tena ku log matumizi.Dahh mpe notebook awe anaandika weekly utajaza mwenyewe, mgogoro wa aina hiyo sio poa!
Mimi nina notebooks kibao na hazijawahi nisaidia naishia kujua matumizi yangu tu na yote ni muhimu!Hiyo inaitwa serious kwenye hakuna. Uliza mtu yeyote aliyefanikiwa kama aliwahi kuwa /tengeneza hiyo kitu. Tafuta pesa wape familia/wanaokuhusu/tegemezi wako watumie. Achana na mambo ya sijui Excel wakati kuna free apps kibao lakini nazo hazita kusaidia kama wewe binafsi hiwezi kuji control
Duhh! Hii ni changamoto sana!huo usiriazi unakujaga wenyewe tu bills zikionge
saivi nina miezi miwili nilimwambia asitishe kurekodi, sababu ni kutokiwa makini na kurekodi, mara asahau mihamala mara sikunipite sioni muhamala wakati kila siku lazima atumie hela. bado naweka mazingira sawa ili aanze tena ku log matumizi.
Notebook haifai maana huwezi kutembea na notebook ila simu unatembeanayo, simu inatakiwa iondoe matumizi ya peni na karatasi muda wote kama vile upo darasani.
Ahahaha waambie hizi elimu za pdf & excel ndo huwa zinawatoa kwenye rail maana ni tofauti kabisa na uhalisia wa maisha yao ya kila sikuHiyo inaitwa serious kwenye hakuna. Uliza mtu yeyote aliyefanikiwa kama aliwahi kuwa /tengeneza hiyo kitu. Tafuta pesa wape familia/wanaokuhusu/tegemezi wako watumie. Achana na mambo ya sijui Excel wakati kuna free apps kibao lakini nazo hazita kusaidia kama wewe binafsi hiwezi kuji control