Nimetengeneza mfumo wa usimamizi wa makanisa

Nimetengeneza mfumo wa usimamizi wa makanisa

Wasalimie hapo UDOM-CIVE Parokia ya mtakatifu...
 
Ijaribu utanipa feedback
Mkuu, nafanya vipi deduction baada ya kuyoa bidhaa? Mfano nina 24items, nimeuza mbili, napunguzaje na wapi, wapi itanionyesha kuwa nineshauza bidhaa mbili?
 
Wasalimie hapo UDOM-CIVE Parokia ya mtakatifu...
Hivi ile database ya UDOM iliyo dukuliwa isha rekebishwa?

Nakumbuka database pamoja na password za wanafunzi ziliwekwa jf kila mtu ajionee!!

NB: inakuaje chuo kinagundisha IT wakati wao hawawezi hata kusimamia mifumo yao?
 
Mkuu Ilikuwa mwaka gani huo taarifa hizo zilipokuwa published JF?

Kwasababu huwa wanatabia ya kubakisha wanafunzi wanaofanikiwa kudukua mfumo wa Chuo.
 
Sio kwamba unampa access na mambo utakayokuwa unapanga na familia yako?
 
Mkuu, nafanya vipi deduction baada ya kuyoa bidhaa? Mfano nina 24items, nimeuza mbili, napunguzaje na wapi, wapi itanionyesha kuwa nineshauza bidhaa mbili?
Mkuu kwenye sehemu pale ya profile kuna namba zao za whatsapp na normal call wako humble wanakuelekeza vizuri
 
1655571230971.png
 
naomba link ya demo nipitie naweza nkawashawishi kanisan kwetu apa
 
Inaruhusiwa kutumika misikitini pia?
Imeundwa kwa kuzingatia mahitaji ya makanisa, hivyo hata baadhi ya terminology zinaendana na mahitaji ya taasisi za makanisa. Ila tunaweza kukutengenezea mfumo ambao utaendana na mahitaji ya msikiti.
 
nmeona sehem umeongelea sms, unamaanisha ntaweza kutuma sms kwa washarika? bei ya sms ni kiasi gan
bei ya SMS inategemea na idadi ya SMS ambazo unanunua, bei ya juu ni 25, na bei ya chini ni 12.
 
hauna demo account naweza kupitia haraka haraka kesho baada ya ibada niwasilishe?
Unaweza ukatengeneza demo account kwa kujaza registration form >> Bonyeza get started kujisaliji
 
Ahsanteni sana kwa wote ambao mmepata nafasi ya kuujaribu mfumo, na pia mmetoa maoni na ushauri wenu. nawaahidi kufanyia kazi yale ambayo mmeshauri kabla ya mfumo kuanza kufanya kazi rasmi
 
UPDATES
Kuna wengi ambao mmekuwa mkihitaji account ya majaribio, sasa ili kuepusha usumbufu wa kusajili account na kufuta nimetengeneza account za majaribio ambazo kila mmoja anaweza kuzitumia

account ya Finance
churchID 1096
Phone 255742600079
Passwors 1122

Account ya administrator
churchID 1096
Phone 255759891571
password 1122
 
Back
Top Bottom