Nimetengeneza mfumo wa usimamizi wa makanisa

Nimetengeneza mfumo wa usimamizi wa makanisa

Unaweza ukatengeneza demo account kwa kujaza registration form >> Bonyeza get started kujisaliji

mzee mm naona huna shida na mteja, demo account ni lazima iwepo kwa mtu ambae ndo kwanza anataka kuona features zilizopo,
 
Yes tunatumia interServer VPS package, data zinahifadhiwa kwenye database zikiwa encrypted, na tunafanya daily backup ya database.

mpaka mda huu mmeshainstall kwenye makanisa mangap boss
 
UPDATES
Developers wetu wameingia kazini kuboresha interface & UE kwa upande wa watumiaji wa simu, kwa kuwa mfumo ulitengenezwa kwa lengo la watumiaji wa PC kutumia web na watumiaji wa simu kutumia app, hviyo baada ya siku chache, web itakuwa well customized kwa watumiaji wa simu pia.

Hii inatokana na maoni ya tester wetu.
 
jiandae kwa lawama za kutosha mkuu, hio encryption ni pasua kichwa, nliitumia sana zamani i think it ni mysql sjui 4.1 nlikua naitumia then ilivokuja 6 nlijuta kuitumia, as the matter of fact kama pia unatumia apache and php pia jiandae na maumivu zaidi, nadhan kabla haujaiweka public fikiria ivi vitu mapema sana
 
Tunatumia litespeed badala la apache na db tunatumia mysql, tunajitahidi kuendelea kuboresha sababu ya sensitivity ya taarifa ambazo zinahifadhiwa humo.

Labda kwa uzoefu wako unaweza nipa suggestions za encryption method ambayo ni bora kuliko AES ambayo tunatumia? sababu mara zote nimekuwa nikiamini hii ni moja ya encryption method bora.
 
Haijakaa sawa ongefaa uuze
Nilifikiria kuhusu kuuza, lakini tukirudi kwenye uhalisia taasisi nyingi za kidini huwa hawapo active kufanya maintenance ya systems zao, unaweza wauzia then baada ya mwaka wanaacha hata kulipia hosting ya data zao. mfano mdogo ingia hata site za makanisa uone mara ya mwisho kuwa updated ni lini.

So, ndio maana nikaleta mfumo ambao wao watakuwa wanalipia kwa mwezi na task nyingine zote za maintenance ya mfumo zinabaki kwetu.
 
Tunatumia litespeed badala la apache na db tunatumia mysql, tunajitahidi kuendelea kuboresha sababu ya sensitivity ya taarifa ambazo zinahifadhiwa humo.

Labda kwa uzoefu wako unaweza nipa suggestions za encryption method ambayo ni bora kuliko AES ambayo tunatumia? sababu mara zote nimekuwa nikiamini hii ni moja ya encryption method bora.

kuna uwezekano hii ndo first enterprise application yako, ukija kwenye swala la production ni tafauti na lessons ulizopata, mfano ukiwa unafanya training ni rahisi sana kuona kila kitu kinafanya kazi vizuri kwa sababu its small data but as you go on, utakutana na changamoto nyingi sana, kwanza achana na php iache itumike kwenye blogs, you can never scale an application with php, unless you add a custom compiler on top of ZEND engine, mfano facebook wanatumia php yenye c++ runtime inayoitwa HIPHOP php (HHVM) its built on top of a virtual machine not like the one your using, php kuna ya bure na kuna enterprise, but all in all php is still a nightmare, you should stop using it, going on to the server if your using a VPS and MYSQL then i dont understand what your doing, kwa ujumla hio project nzima has to be a big failure if you go with all these, MYSQL doesnt scale php doesnt scale, you should something like a cloud platform, you can scale as easy as possible, if you want to upgrade your project utapata shida hujawahi kuipata, thats just a scale part sjaongelea attacks utazopata, kila aina ya attack utaipata just because your using php and mysql at the end of the day it wont work
 
Maboresho zaidi yamefanyika na yanaendelea kufanyika.
Demo account
account ya Finance

churchID 1096
Phone 255742600079
Password 1122

Account ya administrator
churchID 1096
Phone 255759891571
password 1122
 
Maboresho zaidi yamefanyika na yanaendelea kufanyika.
Demo account
account ya Finance

churchID 1096
Phone 255742600079
Password 1122

Account ya administrator
churchID 1096
Phone 255759891571
password 1122
Hongera
 
Back
Top Bottom