Unaweza ukatengeneza demo account kwa kujaza registration form >> Bonyeza get started kujisaliji
okbei ya SMS inategemea na idadi ya SMS ambazo unanunua, bei ya juu ni 25, na bei ya chini ni 12.
Ahsanteni sana kwa wote ambao mmepata nafasi ya kuujaribu mfumo, na pia mmetoa maoni na ushauri wenu. nawaahidi kufanyia kazi yale ambayo mmeshauri kabla ya mfumo kuanza kufanya kazi rasmi
Yes tunatumia interServer VPS package, data zinahifadhiwa kwenye database zikiwa encrypted, na tunafanya daily backup ya database.naomba kujua usalama wa data zetu kwanza maaana kwa haraka haraka nadhan hosting yenu ni hii apa: InterServer - Affordable Unlimited Web Hosting, Cloud VPS and Dedicated Servers
Yes tunatumia interServer VPS package, data zinahifadhiwa kwenye database zikiwa encrypted, na tunafanya daily backup ya database.
Yes tunatumia interServer VPS package, data zinahifadhiwa kwenye database zikiwa encrypted, na tunafanya daily backup ya database.
Ndioyou mean AES encryption?
Sahizi tuna makanisa 4, ambayo yanatumia as a tester Dar, 1 Tabora, 1 Mwanza.mpaka mda huu mmeshainstall kwenye makanisa mangap boss
system hii inafaa kwa makanisa yoteKwa Yale makanisa ya Manabii safi sana
Sadaka unatoza kodi? Una.uelewa wewe?mfumo wa usimamizi wa makanisa utaiwezesha serikali pia kupata kodi kupitia makanisa. Mfumo uliopo sasa sadaka ni mali ya Dr shoo na mapadre tu
Sahizi tuna makanisa 4, ambayo yanatumia as a tester Dar, 1 Tabora, 1 Mwanza.
Ndio
Haijakaa sawa ongefaa uuzeNo, ni subscription, yaani ukilipia 30,000 utapata access ya mwezi mzima
Kwa mbeleni tutaongeza, kwa sababu sahizi wanatumia as tester, so kuna mengi bado tunaongeza na mengine kurekebisha.hongera sana boss! hope mbelen mtaexpand zaidi
Tunatumia litespeed badala la apache na db tunatumia mysql, tunajitahidi kuendelea kuboresha sababu ya sensitivity ya taarifa ambazo zinahifadhiwa humo.jiandae kwa lawama za kutosha mkuu, hio encryption ni pasua kichwa, nliitumia sana zamani i think it ni mysql sjui 4.1 nlikua naitumia then ilivokuja 6 nlijuta kuitumia, as the matter of fact kama pia unatumia apache and php pia jiandae na maumivu zaidi, nadhan kabla haujaiweka public fikiria ivi vitu mapema sana
Nilifikiria kuhusu kuuza, lakini tukirudi kwenye uhalisia taasisi nyingi za kidini huwa hawapo active kufanya maintenance ya systems zao, unaweza wauzia then baada ya mwaka wanaacha hata kulipia hosting ya data zao. mfano mdogo ingia hata site za makanisa uone mara ya mwisho kuwa updated ni lini.Haijakaa sawa ongefaa uuze
Tunatumia litespeed badala la apache na db tunatumia mysql, tunajitahidi kuendelea kuboresha sababu ya sensitivity ya taarifa ambazo zinahifadhiwa humo.
Labda kwa uzoefu wako unaweza nipa suggestions za encryption method ambayo ni bora kuliko AES ambayo tunatumia? sababu mara zote nimekuwa nikiamini hii ni moja ya encryption method bora.
HongeraMaboresho zaidi yamefanyika na yanaendelea kufanyika.
Demo account
account ya Finance
churchID 1096
Phone 255742600079
Password 1122
Account ya administrator
churchID 1096
Phone 255759891571
password 1122