Miezi 3 tu ukilima heka 20 za kunde au muhogo unapata zaidi ya hio
Tumia akili nani kasema muhogo kwa miezi 3Empty set katika ubora wako, yaani muhogo ukomae ndani ya miezi 3 tu.!
We dogo endelea kutapeli mademuukiwa hujawahi shika hela flani kuna hela ukitajiwa unaziona nyingi sana sana
30m ndani ya miezi 6 = na 5m kwa mwezi ambayo ni sawa na 166 > 170k kwa siku
170k ni hela (faida) ambayo inapatikana kwa kuuza bidhaa 1 tu ya electronic Just 1 piece (eg: tv)
calculate kwa siku mtu anauza tv si chini ya 3,achana na electronics zingine na biashara zingine zenye faida tofauti.
hujaweka vibiashara uchwara vingine mtu anafanya,hilo ni duka 1 tu..unaongelea 30m unaona ni hela nyingi sana?
hiyo ni hela imetolewa tu mfano kulingana na level ya mtoa mada ila tukisema tuweke uhalisia wa Mtu mwenye akili na mtaji anatakiwa aingize kiasi gani kwa mwezi/miezi 6 watu wataguna mpka makoo yawaume.
Safi Sana, nakupongeza kwa comnent na pia upambanaji wa kutafta ela, anayeona milioni 30 ni ndogo apite kushoto. Kimfaacho mtu, chakeHata hivyo sijaleta uzi kuwa inspire nyie matajiri wakubwa, uzi wangu unawalenga vijana ambao hawana mitaji wanaoweza kujiajiri kupitia kilimo.
Msimu mzuri wa kulima nyanya ni upi?Mbona pesa ndogo sana hio kwa miaka 3 sawa na milion 10 kila mwaka.
Wakati nyanya tu ndani ya miezi 3 unapata zaidi ya hizo kwa heka 10
Nyanya hazina msimuMsimu mzuri wa kulima nyanya ni upi?
Nyanya hazina msimuMsimu mzuri wa kulima nyanya ni upi?
nadhani either hujaelewa au umejibu kitu usichokijua.Nyanya hazina msimu
Hii ni comment ya kiume sana mkuu!Hata hivyo sijaleta uzi kuwa inspire nyie matajiri wakubwa, uzi wangu unawalenga vijana ambao hawana mitaji wanaoweza kujiajiri kupitia kilimo.
Hapana hata kwa sekunde/dakika/saa/siku/wiki/mwezi/mwaka
Tulio wengi tunaishi kwa kuhesabu kuanzia mwezi,ni wachache hasa
tulio wafanyabiashara mapato yetu tunayahesabu kwa siku,ni vile tu unaamua
uwekeje hesabu zako ili upate jibu la kiasi ulichopata katika kazi husika ya kujiongezea kipato.
Mkuu hakuna ubaya wala kosa kwa wewe kutumia nguvu na akili nyingi...huna sababu ya kujieleza kwa huyo kijana!Wewe umejuaje nimetumia nguvu na akili nyingi?
Mkuu hisia zangu ni kuwa wanaopinga wengi watakuwa watumishi sio wafanya biashara. Mtumishi anasahau kuwa hio laki nane na ushehee au milioni+ anaisotea mwaka mzima, ili kupata milion 30 anakuwa amefanya kazi non stop miez 30. Wakati huyu mkulima analima kwenye misimu tu, mda mwingine anapumzika na kuwa huru.Mkuu hakuna ubaya wala kosa kwa wewe kutumia nguvu na akili nyingi...huna sababu ya kujieleza kwa huyo kijana!
Endelea kuchapa kazi...mafanikio huja kwa nguvu na jasho jingi, hawa vijana wanadanganyana ndiyo maana wengi wapo kwenye ujinga wao wanaita sijui forex na wengine kubet.
850k kwa mwezi ni pesa nyingi sana. Ukitaka kujua hivyo...mpigie simu jamaa yako yoyote unayemjua mwambie una shida ya laki 8 uone visingizio atakavyokupa...[emoji2]..piga kazi mkuu!
Mkulima ni Mkulima na muajiriwa ni muajiriwa. Usichanganye hivi vitu? Utawapoteza wenzako.Unaweza kuwa mkulima na bado ukaajiriwa.
Bila kufanya kazi hiyo serikali ya wapi?Mkulima ni Mkulima na muajiriwa ni muajiriwa. Usichanganye hivi vitu? Utawapoteza wenzako.
Labda kama unaongelea kuajiriwa serikali hasa huko Halmashauri.
Serikalini ndiyo ukipata ajira unakuwa kama umewahi namba, ukisha sign mkataba unaweza enda kitaa au popote pale kuendelea na mishe zako nyingine wakati ukisubiri muda wa kustaafu bile kufanya kazi au kustaafu baada ya kuhudhuria vikao na training, semina ziara kwa miaka yote uliyokuwa kazini
Kwa kijana anayeshinda kijiweni asiyeelewa anaanzia wapi , 30 M si pesa ya kubeza, nikupe hongera ndugu....Nimeanza kulima serious toka mwaka 2019, nikilima mahindi na viazi vitamu ndani ya misimu mitatu yaani toka 2022 mpaka sasa nimeweza kutengeneza faida ya 30M kupitia kilimo cha mahindi, viazi vitamu, na maharage.
Kwa hakika kilimo ni biashara tamu.
Nawashauri vijana wenzangu mchangamkie fursa.