karv
JF-Expert Member
- Dec 26, 2019
- 1,802
- 3,253
Ila unaweza kumaliza hata siku 3 hujauza ila huwezi kumaliza siku 3 hujalaukiwa hujawahi shika hela flani kuna hela ukitajiwa unaziona nyingi sana sana
30m ndani ya miezi 6 = na 5m kwa mwezi ambayo ni sawa na 166 > 170k kwa siku
170k ni hela (faida) ambayo inapatikana kwa kuuza bidhaa 1 tu ya electronic Just 1 piece (eg: tv)
calculate kwa siku mtu anauza tv si chini ya 3,achana na electronics zingine na biashara zingine zenye faida tofauti.
hujaweka vibiashara uchwara vingine mtu anafanya,hilo ni duka 1 tu..unaongelea 30m unaona ni hela nyingi sana?
hiyo ni hela imetolewa tu mfano kulingana na level ya mtoa mada ila tukisema tuweke uhalisia wa Mtu mwenye akili na mtaji anatakiwa aingize kiasi gani kwa mwezi/miezi 6 watu wataguna mpka makoo yawaume.