Nimetengeneza milioni 30 faida ya kilimo ndani ya miaka 3

Nimetengeneza milioni 30 faida ya kilimo ndani ya miaka 3

Kwani kuna pesa inapatikana bila kutumia nguvu na akili nyingi?
Kwa taarifa tu kilimo cha sasa hutumii nguvu nyingi ni pesa yako tu mambo yanaenda
asubutuuuuu,tungekua wote wakulima
 
Eti Kwa nguvu unayotumia ilitakiwa upate hiyo million 30 ndani ya miezi 6 ,Wao kuweza ?
ukiwa hujawahi shika hela flani kuna hela ukitajiwa unaziona nyingi sana sana

30m ndani ya miezi 6 = na 5m kwa mwezi ambayo ni sawa na 166 > 170k kwa siku

170k ni hela (faida) ambayo inapatikana kwa kuuza bidhaa 1 tu ya electronic Just 1 piece (eg: tv)

calculate kwa siku mtu anauza tv si chini ya 3,achana na electronics zingine na biashara zingine zenye faida tofauti.

hujaweka vibiashara uchwara vingine mtu anafanya,hilo ni duka 1 tu..unaongelea 30m unaona ni hela nyingi sana?

hiyo ni hela imetolewa tu mfano kulingana na level ya mtoa mada ila tukisema tuweke uhalisia wa Mtu mwenye akili na mtaji anatakiwa aingize kiasi gani kwa mwezi/miezi 6 watu wataguna mpka makoo yawaume.
 
Kwahiyo ukisikia mtu analima kila siku lazima aende ainame shambani, kilimo cha sasa unaweza kukifanya upo mjini na ukapata matokeo mazuri ni usimamizi mzuri tu unahitajika.
sawa
 
ukiwa hujawahi shika hela flani kuna hela ukitajiwa unaziona nyingi sana sana

30m ndani ya miezi 6 = na 5m kwa mwezi ambayo ni sawa na 166 > 170k kwa siku

170k ni hela (faida) ambayo inapatikana kwa kuuza bidhaa 1 tu ya electronic Just 1 piece (eg: tv)

calculate kwa siku mtu anauza tv si chini ya 3,achana na electronics zingine na biashara zingine zenye faida tofauti.

hujaweka vibiashara uchwara vingine mtu anafanya,hilo ni duka 1 tu..unaongelea 30m unaona ni hela nyingi sana?

hiyo ni hela imetolewa tu mfano kulingana na level ya mtoa mada ila tukisema tuweke uhalisia wa Mtu mwenye akili na mtaji anatakiwa aingize kiasi gani kwa mwezi/miezi 6 watu wataguna mpka makoo yawaume.
Narudia tena, ingelikua ni rahisi hivyo tungekua na mamilionea wengi tu
Uhalisia wa ground struggles unajulikana
Nakuhakikishia , laki 8.5 ni nyingi Kwa vijana wengi
Unaongelea constant flow ya laki 8.5 Kwa mwaka.
Wengi Wana bidii,uvumilivu na juhudi za utafutaji ila hawapati hiyo Hela
Humu kila Leo zinaletwa threads za watu wanaongelea Hali za uchumi zilivyo ,ni tofauti na unachokielezea theoretically.
Sio rahisi unachokisema
 
laki 8.5 ni nyingi Kwa vijana wengi
sikatai wala kubisha kuhusu hii pesa ni nyingi sana na wapo vijana wengi tu

hutamani walau wapate kazi ya kipato hichi,ila pia mtu asiseme 30m kwa miezi 6

ni hela isiyopatikana,katika wengi kuna wachache wanaoweza ipata na zaidi ya hiyo pia.

kama ambavyo wengi hawawezi ipata ndio mana idadi ya matajiri pia sio kubwa,ila n kitu inawezekana.
 
Hili group bwana Kila mtu anavyo jisikia. hivi kweli watu wote wana uwezo wa kuuza TV hata Mimi sina lkn napambana, hem watupe mchanganuo wa MTU wa daraja ya chin anapataje 30m Kwa miezi 6?
 
Nimeanza kulima serious toka mwaka 2019, nikilima mahindi na viazi vitamu ndani ya misimu mitatu yaani toka 2022 mpaka sasa nimeweza kutengeneza faida ya 30M kupitia kilimo cha mahindi, viazi vitamu, na maharage.
Kwa hakika kilimo ni biashara tamu.

Nawashauri vijana wenzangu mchangamkie fursa.
Hapo tayari umemaliza. Kushauri si kwa mistari 2; fafanua. Umelima wapi? heka ngapi? Umelima mwenyewe au trekta? Na mengineyo ya kunishawishi. Uwezi Ukanitoa kijuujuu namna hiyo mie kijana wa mjini nikuige kirahisi hivyo.
 
We acha tu
Yaani watu wanavyojifanya kurahisisha maisha
Eti Kwa nguvu unayotumia ilitakiwa upate hiyo million 30 ndani ya miezi 6 ,Wao kuweza ?
ingelikua ni rahisi hivyo na jinsi watu wanavyohustle ,kungekua na mamilionea
maana 60M Kwa mwaka ,miaka mi5 una 300M
vijana wengi Sana tunapigika hata kodi tu kipengele.
mtoa mada kaza mkuu,punde utakua mtu mwingine
 
Hii ndo JF
Yani matajiri wanapinga kabisa FAIDA ya milion 30 kwa miaka mitatu, na wengi hawajui kwamba kwenye kilimo unaweza piga pesa nzuri msimu huu lakini msimu ujao ukapiga hasara.

Mleta mada, komaa dingii, shikilia hapo hapo ya ela yote🦲🦲🦲
Da! Viazi mviringo vishatukata mda huuu wakati mwezi wa 5 vilikuwa 80elf saa hizi 30-35. Vimeshalima mitaji.
Waliofanikiwa bana huona wengine wajinga wanacheza.
 
Hata hivyo sijaleta uzi kuwa inspire nyie matajiri wakubwa, uzi wangu unawalenga vijana ambao hawana mitaji wanaoweza kujiajiri kupitia kilimo.
Safi kabisa, humu Kuna watu wanajifanya ujuaji Sana

Wakati Kuna watu kibao wanajitolea kwa 50k Hadi 200k kwa mwezi
 
Back
Top Bottom