Nimeteuliwa kuwa reviewer wa Jarida la Matumizi ya akili bandia katika uhandisi (Journal of Engineering Applications na Artificial Inteligence)

Hongera Meneja...
 
Ahsante sana kwa ushauri mkuu. Nimefanya hivyo kuwarahisishia wanaotaka kusubmit maandiko yao kwenye hii journal waandike jina langu. Nacho hitaji ni vyeti vya kureview boss wangu. Nina kazi navyo.
 
Mtu ambae huna hata ajira rasmi, huna Phd, huna field authority (expertise) ukafanye ‘peer review’ ya journals published by ‘science-direct’ one the major recommended reference source ya vyuo vikubwa duniani.

Na kuna watu wanaamini kabisa, wakati hata ukiulizwa hapa swali jepesi ya tofauti ya Artificial Intelligence, Machine Learning (ML), Data Analytics (DA) na Robotic Process Automation (RPA) definition tu zitakusumbua let alone their application in engineering.

How gullible are Tanzanians
 
Shukrani kutoa tahadhali

Customer beware
 
Tunamzoom tu na kumpa hongera.
 
Anataka kuifanya kama Journal uchwara zinazotafuta wateja kwa email. Unalipa USD 50 au 100, baada ya siku 3 paper imetoka bila hata review yoyote.
 
Subiri nitashare certificate ya kureview boss.
 
Anataka kuifanya kama Journal uchwara zinazotafuta wateja kwa email. Unalipa USD 50 au 100, baada ya siku 3 paper imetoka bila hata review yoyote.
Boss kama una andiko la AI unataka kupublish submit kwenye hii journal likifika muda wa kureview andika jina langu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…