Nimeteuliwa kuwa reviewer wa Jarida la Matumizi ya akili bandia katika uhandisi (Journal of Engineering Applications na Artificial Inteligence)

Huku ndiko tunako
Hongera sana mkuu kwa maelezo mazuri. Jitulize kidogo na hii video inayo onyesha jinsi tunavyoweza kutumia AI kujaza mafuta kwenye magari. Yaani badala ya kutumia pump attendant tunatumia AI pump attendant.
Your browser is not able to display this video.
 
Bwana Mayor Quimby unamfahamu Roboti Spot?
Embu tafuta muda ujifunze juu ya huyo robot.
Kwa sasa, roboti huyu anatumiwa sana na makampuni ya mafuta na gesi. Mambo ya AI hayo Robot huyu anauwezo wa kutembea kwenye maeneo magumu na kufanya ukaguzi katika mazingira hatarishi.

Spot ana miguu minne inayompa uwezo wa kutembea kwenye ardhi isiyo na usawa, kupanda na kushuka ngazi, na kuepuka vizuizi.
Anaweza kuzunguka kwa urahisi kwenye maeneo yenye vikwazo na kufika sehemu ambazo zinaweza kuwa hatarishi kwa binadamu.
Pia Spot anauwezo wa kubeba kamera, sensa, na vifaa vingine vya ukaguzi.

Sasa ndugu yangu Mayor Quimby wa maswali ya kudefine robot huyu amekua akitumiwa na makampuni ya mafuta na gesi katika maeneo yafuatayo:
1. Amekua akitumika kufanya ukaguzi wa mabomba, mitambo, na miundombinu mingine katika maeneo ya uzalishaji wa mafuta na gesi. Kwa kufanya hivyo anapunguza hatari kwa wafanyakazi kwa kufika maeneo magumu na hatarishi.
2. Pia bwana Spot anaweza kufuatilia hali ya usalama wa maeneo ya uzalishaji kwa muda mrefu bila kuchoka huku akirekodi video na kuchukua picha za maeneo mbalimbali.
3. Kwa kutumia sensa na kamera, Spot anaweza kutambua uvujaji wa gesi au mafuta, na kutoa taarifa mapema ili hatua zichukuliwe haraka.
4. Bwana Spot pia anaweza kukusanya data mbalimbali kutoka kwenye sensa na vifaa vingine, ili kusaidia makampuni kufanya maamuzi sahihi kwa kutumia taarifa za wakati halisi (Real-Time data).
Video hii inaonyesha Bwana Spot akifanya kazi yake.
Your browser is not able to display this video.
 
Unaombwa uelezee tofauti ya AI, ML, DA na RPA. Badala ya kujibu unaenda leta cheti cha kuokota mitandaoni na ku-edit.

Nimekupunguzia maswali, nimekuuliza moja elezea process za DA. Badala ya kujibu hoja unaenda leta picha ya kitabu cha ML.

Haya kama umesoma hiko kitabu chako nimekuuliza tofauti ya ML na DL. Unaenda niletea maelezo mengine ya machine inayotumika baharini (kumbe ndio kwanza inafanyiwa testing kwenye meli hapo, sijui kiwandani).

Ungekuwa unaelewa concept za cognitives machine nimeshakueleza sasa hivi most common technology ni zile zinazofanya repetitive task (Robotic Process Automation) na ungekuwa umejibu maswali au hata kuelewa concepts hayo mambo nishakuuliza in technical grounds na uwezi kujibu.

Please don’t waste my time kujadili vitu ambavyo huna uelewa navyo.
 
Nimekwambia hayo maswali kwangu ni madogo nipe swali la kukutengezea model inayotumia mfumo wa AI unanipa mambo ya kudefine hizi ni dharau za wazi.
 
Watanzania karibia wote tuna akili bandia.

Akili zetu hatuzitumii.

Hivi kama siyo akili bandia unaweza kusema x izimwe ?
 
Nimekwambia hayo maswali kwangu ni madogo nipe swali la kukutengezea model inayotumia mfumo wa AI unanipa mambo ya kudefine hizi ni dharau za wazi.
Mifumo ya cognitive machines ndio hiyo niliyokwambia AI, DA, ML, RPA. Ambayo uwezi define.

Sasa utatengeneza vipi mfumo kama hujui hata matumizi yenyewe ya cognitive machines.

Unataka nikwambie tengeneza mfumo wa reinforcement learning, wakati hujui hata Machine Learning ni kitu gani.

Kama umeshindwa kuelezea matumizi ya hizo technologies maana yake uwezi elewa hata namna ku pre-set algorithms kufanya tasks sahihi.

Hayo maswali yalikuwa na lengo la kujua uelewa wako wa cognitive machine na katika kujibu lazima ungeelezea na details za mifumo inayotumika sasa wewe unataka uambiwe utengeneze mfumo wa ku-detect patterns wakati hujui either hiyo ni sehemu ya (AI, ML, DA au RPA) maana hujui hata hivyo vitu vinavyofanya kazi.

Ombi lako ni sawa na mtu anaesema nipeleke uwanjani uone navyokimbia, wakati ujaonesha hata uwezo wa kutembea.
 
Hongera sana. Hata hivyo, jarida lilipie airtime hapa JF.
===
Reviewers ni muhimu Sana katika mustakabali wa kukuza ujuzi kwenye masuala mengi kitaaluma na kiutendaji kazi viwandani na jamii kwa ujumla. Hata hivyo, na Kerwa sana na kutothaminiwa kwa Reviewers hawa. Hawa publisher wanapata hela nyingi sana ( article Moja ya open access waweza kulipa hata Dola elfu 10 ukikaa vibaya) lakini reviewer Hata sent Tano ya kitanzania hapati. Sana utakudanganya kuwa tuna kupa punguzo la 25% kununua bidhaa zetu. Uongo kwenye hili mleta mada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…