mongoli
JF-Expert Member
- Feb 25, 2024
- 734
- 1,732
chawa unatetemeka kuliko boss..Nenda huko usipoogopa mkaandamane
Nenda ufanye kazi kujipendekeza kwa watawala sio ajira..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chawa unatetemeka kuliko boss..Nenda huko usipoogopa mkaandamane
Hili hapa sasa wazi ni tatizo la Kiswahili, wewe huenda unasikiliza the story book kuhusu Kiduku au zile movies za kutafsiriwa ambazo huwa zinawasifia Wakorea na ukaaminishwa kabisa kwamba Korea Kaskazini ya Kiduku ni taifa la maana la kutolea mfano. Fahamu sasa kwamba Tanzania inaweza kuwa bora sana kuliko Korea Kaskazini.North Korea wanazungumza kiingereza?
Naamini we ni 1 ya wanufaika wa mfumoKwahyo kubomoa miundombinu ya maendeleo ya nchi yao na kutowesha amani na ustawi wa jamii nzima hayo ndio unayowapongeza? Acheni kuchochewa na na watu wa nje ambao wengine hawapendi maendeleo yenu waafrica. Maachafuko na vita na maandamano haijawahi kuwa njia ya kutatua kero katika eneo lolote. Africa tujitambue wenyewee, leo hiii tunavuruga amani yetu vitu vidogo, lakini tunajicherewesha wenyewe.
Warusi wengi wanajua Kingereza ila wazungumzaji ni wachache, Putin mwenyewe anakielewa Kingereza vizuri japo kuongea sio fluent. Yani Warusi wengi wanaweza kuangalia CNN, Aljazeera au BBC English wakaelewa taarifa vizuri tofauti na Watanzania wengi ambao watakuwa wanaelewa kupitia picha tu.Russia wanazungumza kiingereza?
Kwanza Tanzania hakuna Amani.Wakati sie watanzania tunajivunia kua raia wa nchi, hatuna la kujivunia zaidi ya Amani na umoja wetu.
Ukishaambiwa Sigara ni hatari kwa afya haina maana kwamba kila mtu atakayevuta sigara atakufa kwa cancer, jiongeze kama unataka kuelewa, ila kama uko kwenye ligi endelea kuuliza maswali yasiyo na kichwa wala miguu.Kuna tatizo kwenye hoja zako wewe umesema sijui Uganda na Nigeria kuna ukabila and blah! blah!
Nimekuuliza wewe sio mtoa mada nyie si mnasema English speaking communities wanajitambua? Sasa ulipokuwa unazungumzia ukabila unataka mi nielewe nini
Mnaleta hoja kinzani sasa. Mnasema wazungumzaji wa kiingreza wanajitambua ukibanwa kidogo unasema sijui taifa fulani kuna ukabila.Sasa hawa ambao wanajitambua kwa kigezo cha lugha kwanini wakubali ukabila?Hakuna namna mtu atajitambua then tukasikia ni mkabila
Huna lolotechawa unatetemeka kuliko boss..
Nenda ufanye kazi kujipendekeza kwa watawala sio ajira..
Huu ni ukweli usiopingika, waswahili tu waoga sana, waongo tunaoukubali uongo, na tuna unafiki mwingi huku tukiwa hatuna maendeleo katika nyanja zote.Mfano waingereza na waongeaji wa Kiingereza ni watu wenye utamaduni wa kuwa wazi, wakweli na wathubutu. Waswahili wana tabia ya kuwa waoga, waongo na wanafiki.
Bro kama unajidharau jinsi ulivyo ipo siku utaolewa na hao unaowasifia. Kwa akili kama zako nchi isingepata uhuruAkili ya uswahili wako imeishia hapo
East africa uganda ndio wanaongea na kujua kingereza vizuri kuliko kenya unasemaje kuhusu wao.Nchi zote tatu za Afrika Mashariki, Uganda, Kenya na Tanzania zilitawaliwa na mkoloni mmoja kwa wakati mmoja. Waganda na wakenya wao lugha wanayotumia na kuimiliki ni Kiingereza na Tanzania ni waongeaji wazuri wa kiswahili tu, yaani waswahili.
Lugha ina tabia ya kuendana na utamaduni wake. Mfano waingereza na waongeaji wa Kiingereza ni watu wenye utamaduni wa kuwa wazi, wakweli na wathubutu. Waswahili wana tabia ya kuwa waoga, waongo na wanafiki.
Hali inayoendelea Kenya kisiasa na kiuchumi haitofautiani na ya Tanzania. Wizi, ufisadi na rushwa kwa viongozi vimetamalaki katika nchi zote mbili ila kuna tofauti ya jinsi ya kukabiliana nayo.
Wakenya wana uthubutu wa kusema ukweli hadharani, kujitokeza na kuupinga uovu huo. Tanzania tunasifia na kutukuza wezi, mafisadi na wala rushwa huku wengi wakiendelea na maumivu yasiyomithilika.
Hapo ndipo linakuja suala la lugha na utamaduni wake. Upande mmoja ni ukweli, uwazi na uthubutu na huku kwingine ni unafiki, uoga, uongo na ujinga mwingi.
Mungu atusaidie, amina.
Man siko na mentality za ushindani hapa.Mind you binafsi hoja yangu ilikuwa kwa mtoa mada and you showed up(meaning that you were ready for debate)Ukishaambiwa Sigara ni hatari kwa afya haina maana kwamba kila mtu atakayevuta sigara atakufa kwa cancer, jiongeze kama unataka kuelewa, ila kama uko kwenye ligi endelea kuuliza maswali yasiyo na kichwa wala miguu.
Wanaweza kuwa wanajua Kingereza vizuri kuliko Kenya ila raia wanaozumgumza Kingereza Uganda ni wachache kuliko Kenya.East africa uganda ndio wanaongea na kujua kingereza vizuri kuliko kenya unasemaje kuhusu wao.
Waganda wako juu kuliko sisi, angalia bunge lako lina wapinzani wangapi linganisha na walevi wetu huko DodomaEast africa uganda ndio wanaongea na kujua kingereza vizuri kuliko kenya unasemaje kuhusu wao.
Kwa matusi ya nguoni ndio asili ya waswahili, zaidi ya hapo ni umbea na uchawi tuBro kama unajidharau jinsi ulivyo ipo siku utaolewa na hao unaowasifia. Kwa akili kama zako nchi isingepata uhuru
Uko sahihi, ukimaster lugha ya kingereza unajiongezea utamaduni ni mpya wa kufikiri na kutendaNchi zote tatu za Afrika Mashariki, Uganda, Kenya na Tanzania zilitawaliwa na mkoloni mmoja kwa wakati mmoja. Waganda na wakenya wao lugha wanayotumia na kuimiliki ni Kiingereza na Tanzania ni waongeaji wazuri wa kiswahili tu, yaani waswahili.
Lugha ina tabia ya kuendana na utamaduni wake. Mfano waingereza na waongeaji wa Kiingereza ni watu wenye utamaduni wa kuwa wazi, wakweli na wathubutu. Waswahili wana tabia ya kuwa waoga, waongo na wanafiki.
Hali inayoendelea Kenya kisiasa na kiuchumi haitofautiani na ya Tanzania. Wizi, ufisadi na rushwa kwa viongozi vimetamalaki katika nchi zote mbili ila kuna tofauti ya jinsi ya kukabiliana nayo.
Wakenya wana uthubutu wa kusema ukweli hadharani, kujitokeza na kuupinga uovu huo. Tanzania tunasifia na kutukuza wezi, mafisadi na wala rushwa huku wengi wakiendelea na maumivu yasiyomithilika.
Hapo ndipo linakuja suala la lugha na utamaduni wake. Upande mmoja ni ukweli, uwazi na uthubutu na huku kwingine ni unafiki, uoga, uongo na ujinga mwingi.
Mungu atusaidie, amina.
Wewe ndio utaolewa Kwa kuwa chawa yaani dume Zima unakua chawa Fanya kazi mzeeBro kama unajidharau jinsi ulivyo ipo siku utaolewa na hao unaowasifia. Kwa akili kama zako nchi isingepata uhuru
NIMEUNGA MKONO HOJA HII KWA KUSOMA HEADING TU KWA SABABU UMEANDIKA UKWELI MTUPU.Nchi zote tatu za Afrika Mashariki, Uganda, Kenya na Tanzania zilitawaliwa na mkoloni mmoja kwa wakati mmoja. Waganda na wakenya wao lugha wanayotumia na kuimiliki ni Kiingereza na Tanzania ni waongeaji wazuri wa kiswahili tu, yaani waswahili.