George Charles007
JF-Expert Member
- Mar 10, 2024
- 217
- 337
Vipi kuhusu China, Japan na Korea?!😕😕
Vipi kuhusu Russia na Korea?
Vipi kuhusu Russia na Korea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hao wanaovunja amani na kubomoa miundombinu ya nchi yao, baada ya hapo watakuwa na fedha wotee?. Kwa taaarifa yako mnaojipeleka kihereheree ni makapuku kama nyie. Matajirii hawafanyi ujinga kama huo.Amani ipi wakati huna ela? Ng'ombe kweli. Ndio msiokuwa na akili anaowasema mtoa mada.
Hao hawakutawaliwa na mjerumaniNchi zote tatu za Afrika Mashariki, Uganda, Kenya na Tanzania zilitawaliwa na mkoloni mmoja kwa wakati mmoja. Waganda na wakenya wao lugha wanayotumia na kuimiliki ni Kiingereza na Tanzania ni waongeaji wazuri wa kiswahili tu, yaani waswahili.
Lugha ina tabia ya kuendana na utamaduni wake. Mfano waingereza na waongeaji wa Kiingereza ni watu wenye utamaduni wa kuwa wazi, wakweli na wathubutu. Waswahili wana tabia ya kuwa waoga, waongo na wanafiki.
Hali inayoendelea Kenya kisiasa na kiuchumi haitofautiani na ya Tanzania. Wizi, ufisadi na rushwa kwa viongozi vimetamalaki katika nchi zote mbili ila kuna tofauti ya jinsi ya kukabiliana nayo.
Wakenya wana uthubutu wa kusema ukweli hadharani, kujitokeza na kuupinga uovu huo. Tanzania tunasifia na kutukuza wezi, mafisadi na wala rushwa huku wengi wakiendelea na maumivu yasiyomithilika.
Hapo ndipo linakuja suala la lugha na utamaduni wake. Upande mmoja ni ukweli, uwazi na uthubutu na huku kwingine ni unafiki, uoga, uongo na ujinga mwingi.
Mungu atusaidie, amina.
Hou ndio mwisho wa uwezo wako, uswahili ni shida Sana, ni lugha yenye utamaduni wa utumwa
Kwa mara ya kwanza nimemuona Mjamaa anaekula na kumaliza leo.Utaje huo ufisadi mpaka upelekee watu tuvunje mshikamano wetu. Hata kama watukula hizo fedha lakini ikumbukwe tunaishi na watoto na vikongweee, halafu kunawengine ni wakulima na wagonjwa, sasa kwakuwa wewe nikijana ambaye huenda unaishi kwe shemeji yako, tayariii unataka tuharibu mstakabali wa amani na kuanza kuleta vuruguu?
Acheni kushabikia vurugu za aina yoyote ileee. Ni hatariii. Hakuna mahala dunia nzima ufisadi uliiisha hata huku kwa walio endelea. Tuwaaombee wenzetu wakenya wanao andamana waaache mara moja zaidi watafute haki yao kwa njia ya amani sio kwa namna wanavyofanyaa. Kenya ni nchi tajiri hakuna ambaye hajui lakini nao wakiharibu amani yao wataporomoka haraka saaa.
Sina mda wa kufuatilia watu walioingia madarakani kwa wizi wa kura. Hatuna bunge bali vibaka ambao ni rubber stamp ya serikali ya mafisadiMaswali marahisi tu mnakimbilia matusi nyie mitanganyika mmerogwa?
Unajua finance bill yenu imesomwa lini? Ilisomwa kwa kiingereza? Umechukua hatua gani?
Unaonaje tukimwaga damu yako kwa ajili ya ukombozi wa Tanganyika?
Jibu maswali we mshangazi acha matusi.
🙌🙌🙌 umenikosea sana kaka, kwa hiyo unataka kusema mimi Degree yng ni fake 😂😂Uko sahihi ila kinacho iponza Tanzania ni elimu fake, Tanzania ni nchi peke wadarasa la saba na graduate wakika pamoja huwezi kuwatofautisha mpaka watowe vyeti vyao, kwa mfano mzuri musukuma ikiwa bungeni hana tofauti na profesa moja wakiwa wana changia hoja.
Msingi wa degree yako ndo fake, mpaka pale tutakapo fundishwa vitu vinavyo endana na hali halisi ya maisha.[emoji119][emoji119][emoji119] umenikosea sana kaka, kwa hiyo unataka kusema mimi Degree yng ni fake [emoji23][emoji23]
Uko sahihi,lugha inaweza ikakupa kujiamini, nilipokuwa nakuwa ilikuwa rahis kumtongoza msichana kwa kizungu kuliko kwa kiswahili😆😆😆Nchi zote tatu za Afrika Mashariki, Uganda, Kenya na Tanzania zilitawaliwa na mkoloni mmoja kwa wakati mmoja. Waganda na wakenya wao lugha wanayotumia na kuimiliki ni Kiingereza na Tanzania ni waongeaji wazuri wa kiswahili tu, yaani waswahili.
Lugha ina tabia ya kuendana na utamaduni wake. Mfano waingereza na waongeaji wa Kiingereza ni watu wenye utamaduni wa kuwa wazi, wakweli na wathubutu. Waswahili wana tabia ya kuwa waoga, waongo na wanafiki.
Hali inayoendelea Kenya kisiasa na kiuchumi haitofautiani na ya Tanzania. Wizi, ufisadi na rushwa kwa viongozi vimetamalaki katika nchi zote mbili ila kuna tofauti ya jinsi ya kukabiliana nayo.
Wakenya wana uthubutu wa kusema ukweli hadharani, kujitokeza na kuupinga uovu huo. Tanzania tunasifia na kutukuza wezi, mafisadi na wala rushwa huku wengi wakiendelea na maumivu yasiyomithilika.
Hapo ndipo linakuja suala la lugha na utamaduni wake. Upande mmoja ni ukweli, uwazi na uthubutu na huku kwingine ni unafiki, uoga, uongo na ujinga mwingi.
Mungu atusaidie, amina.
Sina mda wa kufuatilia watu walioingia madarakani kwa wizi wa kura. Hatuna bunge bali vibaka ambao ni rubber stamp ya serikali ya mafisadi
Ndugu zangu gani, sina ndugu kenya mimi.Mbona unawaaibisha "ndugu" zako mkuu? Hujui Wakenya wakilijua hilo wataishia kuwasimanga Watanzania?
Huyo asiyejua kusoma nimeshuhudia , tena kwao ni njombe makete , uwanji huko.Mbona unawaaibisha "ndugu" zako mkuu? Hujui Wakenya wakilijua hilo wataishia kuwasimanga Watanzania?
Mkuu tuliza boli, Biblia inasema Kila Jambo chini ya Mbingu, LINA-"WAKATI" wake, wakati huo ukifika mtu mmoja tu akitoa maagizo mbona kitawaka?!!Nchi zote tatu za Afrika Mashariki, Uganda, Kenya na Tanzania zilitawaliwa na mkoloni mmoja kwa wakati mmoja. Waganda na wakenya wao lugha wanayotumia na kuimiliki ni Kiingereza na Tanzania ni waongeaji wazuri wa kiswahili tu, yaani waswahili.
Lugha ina tabia ya kuendana na utamaduni wake. Mfano waingereza na waongeaji wa Kiingereza ni watu wenye utamaduni wa kuwa wazi, wakweli na wathubutu. Waswahili wana tabia ya kuwa waoga, waongo na wanafiki.
Hali inayoendelea Kenya kisiasa na kiuchumi haitofautiani na ya Tanzania. Wizi, ufisadi na rushwa kwa viongozi vimetamalaki katika nchi zote mbili ila kuna tofauti ya jinsi ya kukabiliana nayo.
Wakenya wana uthubutu wa kusema ukweli hadharani, kujitokeza na kuupinga uovu huo. Tanzania tunasifia na kutukuza wezi, mafisadi na wala rushwa huku wengi wakiendelea na maumivu yasiyomithilika.
Hapo ndipo linakuja suala la lugha na utamaduni wake. Upande mmoja ni ukweli, uwazi na uthubutu na huku kwingine ni unafiki, uoga, uongo na ujinga mwingi.
Mungu atusaidie, amina.
Nyie endeleeni na uchawa wenuSasa usilalamike endelea kusifia wakenya Hilo tu ndo mnaweza watanganyika.
Wachina na hao uliowataja wanajifunza kiingereza kwa kasi ajabu, labda huna exposureChina wanazungumza kiingereza,? Japan wanazungumza kiingereza? South Korea wanazungumza kiingereza? Russia wanazungumza kiingereza? North Korea wanazungumza kiingereza? Malaysia wanazungumza kiingereza? Singapore wanazungumza kiingereza? Matafaifa yapo mengi yasiyozungumza kiingereza na yemeendelea vizuri sana, Lugha sio kikwazo , Maendeleo ni Mfumo uliopo #
Nyie endeleeni na uchawa wenu
Yaani umemaliza mkuu. Labda mitaala mipya utabadili mambo....Nchi zote tatu za Afrika Mashariki, Uganda, Kenya na Tanzania zilitawaliwa na mkoloni mmoja kwa wakati mmoja. Waganda na wakenya wao lugha wanayotumia na kuimiliki ni Kiingereza na Tanzania ni waongeaji wazuri wa kiswahili tu, yaani waswahili.