Nimethibitisha ukikaa mbali na dhambi, unapata mafanikio maishani.....

Nimethibitisha ukikaa mbali na dhambi, unapata mafanikio maishani.....

Nakumbuka tendar yangu ya kwanza ilikua 2024 kujenga barabara nilikua nimeokoka kabisa krasimatic baada ya kulipwa nikawa kenge kilichonikuta mpaka sasa MUNGU yupo kabisa narudia MUNGU yupo ova
 
Back
Top Bottom