M Master Race JF-Expert Member Joined Feb 19, 2026 Posts 822 Reaction score 2,023 Jun 19, 2026 #21 Fanya ufanyavyo mema yazidi mabaya.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jun 21, 2026 #22 Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana... Cc: Mahondaw
baz kaiza JF-Expert Member Joined Jan 27, 2015 Posts 14,971 Reaction score 18,641 Jun 21, 2026 #23 Nakumbuka tendar yangu ya kwanza ilikua 2024 kujenga barabara nilikua nimeokoka kabisa krasimatic baada ya kulipwa nikawa kenge kilichonikuta mpaka sasa MUNGU yupo kabisa narudia MUNGU yupo ova
Nakumbuka tendar yangu ya kwanza ilikua 2024 kujenga barabara nilikua nimeokoka kabisa krasimatic baada ya kulipwa nikawa kenge kilichonikuta mpaka sasa MUNGU yupo kabisa narudia MUNGU yupo ova