Haikuwa kazi rahisi kufika hiyi miaka
Ushauri wangu kwa vijana wenzangu maisha ya ndoa ni maZuri kama mnajitambua kuna vipindi vingi nimepitia
kama kutiliwa sumu kwenye chakula, kuwekewa maji upupu, kufungiwa ndani kwa siku 6, kumfuma akifanya ngono na njemba, lakini kidume bado ninae Nina mengi ya kusema ila Nina kauvivu kakutyp
Asanten
Kuoa mapema kwangu kumenipa faida kuu zifuatazo.
1.nimejiepusha na uzinzi kwa asilimia kubwa sisi vijana uzinzi ni nyege tu tunashindwa kujizuia ndio maana adhabu ya mzinzi asiyeoa ni ndogo kuliko mzinzi ambae kaoa.
2.watoto,yaani unakuwa na mwanao,imagine umepata mtoto wa kwanza ukiwa na miaka 20 wewe ukiwa na miaka 40 mwanao yuko form six.
Yaani mtu kama ole sabaya yule awe na mwanae yuko form six,wote vijana mpaka raha.
Sijamaanisha kwamba "mpaka raha" kuwa na baba kama ole sabaya bali nimemaanisha kuwa wanao unawaona wakubwa huku ukiwa na nguvu zako.
Sabaha ni mfano kwa kuwa ni kijana tu.
3.unaepukana na aibu nyingi sana,kuna watu wanafumaniwa kwa sababu ya nyege tu zimewapeleka mbio.
4.nimekuwa mtulivu si wa kurukwa na akili pindipo nikimuona demu mkali,yani una appreciate kwamba yule mkali alafu unaendelea na mambo mengine tu.
5.unafanya mambo yako kwa utulivu na uhuru kama umempata mke mtulivu,kama huna mke mstaarabu ndoa itakuwa uchungu shubiri nk sukari tu katika ndoa hiyo.
6.nimekuza ufahamu na uelewa wangu nimekuwa mwepesi kuelewa na kuwa na fikra chanya.
7.kujitambua kwamba mimi ni mtu mzima nina familia hivyo nakuwa makini kufanya maamuzi ya kipato na vingine kwa maslahi ya familia kinyume na kwenda kuhonga
Faida ni nyingi sana,