Nimetimiza miaka 10 ya ndoa toka nilipo oa nikiwa na miaka 19

Nimetimiza miaka 10 ya ndoa toka nilipo oa nikiwa na miaka 19

Kudumisha ndoa kwa miaka 10 na hasa kwa umri mdogo kama wako ni jambo la kupongeza sana.

Hongera sana sana.
Changamoto ulizopitia ni nyingi nadhani kuliko ulizoandika hapa.
Kila la kheri mkuu[emoji120][emoji120]
Shukran mkuu ila nitaya weka yote hapa ili wenginr wajifunze
 
Aisee. Umemfuma na njemba ukaishia kulia tu, Pia alikuwekea Sumu na bado unaishi nae!.

Naona kama unatukosea adabu wanaume.
Mwanamke akishakuona una udhaifu kwenye kufanya maamuzi atakufanyia chochote kwakuwa anajua huna cha kumfanya.
Sa aende wapi. Kote ndio hayo hayo.

Ni. Kwamba saivi kuna utandawazi tu watu tunajuana tunayofanyiana na wenza wetu.

Kama tungejua namna walivyoishi wazee wetu wengine kufikia mpk miaka 40 au 50 ya ndoa mpk mmoja anamzika mwenzie....haya yetu mbona mdogo sana tu.

Baba anajua kama analea wtt Sio wake ndani ya ndoa......lkn maisha yanasonga fresh... Anakwambia kitanda hakizai haramu.

Mkuu anything is possible in this dunia...watu tumeumbwa tofauti tofauti.
 
Nasubiri kwa hamu kuu Mkuu. JF ni shule kubwa sana ila wengi hayo uliyotendewa ndoa ingeenda kaburini. Pole sana Mkuu kuna mwingine niliwahi kumsoma humu mkewe alitiwa mimba nje lakini yeye akalea mimba na mtoto alipozaliwa akampa jina lake na ndoa yake ikaendelea. ME wa hivyo ni wachache sana.
Shukran mkuu ila nitaya weka yote hapa ili wenginr wajifunze
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vikojoleo havinuniani Mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] HV mkuu kunakuwaga na utaamu kwe eli [emoji125][emoji125][emoji125]
 
Sa aende wapi. Kote ndio hayo hayo.

Ni. Kwamba saivi kuna utandawazi tu watu tunajuana tunayofanyiana na wenza wetu.

Kama tungejua namna walivyoishi wazee wetu wengine kufikia mpk miaka 40 au 50 ya ndoa mpk mmoja anamzika mwenzie....haya yetu mbona mdogo sana tu.

Baba anajua kama analea wtt Sio wake ndani ya ndoa......lkn maisha yanasonga fresh... Anakwambia kitanda hakizai haramu.

Mkuu anything is possible in this dunia...watu tumeumbwa tofauti tofauti.
Nawashangaa hawa wakat mi navumilia haya nimemkuta na mtoto tena mchanga j na mashemej watatu tena wadogo mana wazaz wake wote nimewakuta wamefarik mwanaume nikakaZa kumbuka hapo Nina years 19 sina nyumb wala gar alafu natoka tu chuo sina future yoyote ndio unakutana ishu kama hy lakin saiv mashemej zangu wamekuwa wanangu wamekuwa na wote wapo shule za kulipia je vijana wenzangu hapo si mtasema kulogwa huku kwani wengine hawakuwepo tena niwaibie siri mwingn alikuwepo ila nikampiga chini huku barua yangu na posa wamekula na jamanii
Kila jambo lina sababu zake ndio maana kuvumilia haya niliyoandika haikuwa ishuu
 
Na ningeandika yote mbona ungesema hakuna watu wa aina hiyo labda mars baada ya kuwa [emoji478] ingekuwa collabo ya madrink yote

Cha kushukuru Nina watoto nae watatu na bado mbichi kama mtoto wa kidato na ukituona mm wanangu mbona utasema wadogo zangu
Bwahahahahaha nadhani siku ukienda kupima hao watoto dna ndo utakufa kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1980]
JamiiForums33808989.jpg
 
Back
Top Bottom