Nimetimiza miaka 32, muda wa kuoa ndio umewadia sasa

Nimeuona
 
Hahaha disgusting
acha ujinga - kula maisha kijana !! mambo ya mama Mkwe, baba Mkwe, shemeji, dada wa kazi nyumba inajaa watu - unayataka kwa umri huo?
 
Kama hujui kwa nini unaoa basi usioe endelea kuzini ila ukumbuke zinaa ni uchafu na chukizo kwa Mungu
 
Ima only 26, mazingira kidogo yanibane nioe mwaka huu(nilimpa binti mimba kwao akatimuliwa akaja ghetto na mi siwezi kumfukuza) ila nikawa jorowe. Hapa sifikilii kuoa mpaka 30 ndo ntaanza hizo fikra.
 
Hahaha yaani hautaki kuku Bali tu ---hajawahi kuona kijana wa kiume/wa kike ameolewa but still Ana ishi Yale maisha aliyo kuwa ana yaishi alipo kuwa Batchelor -.huo ni moja ya uhaba wa utayari wenyewe
Aaah wapi.
Acha woga, kila mtu ana namna yake ya kuishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…