Dah mi Nina 29 hapa, Nina Kila kitu maisha Ila sina mke tu,Kuna mda najiuliza maswali ya msingi hivi mke zaidi ya watoto atanipa Nini Cha maana ambacho saivi zikipati??? Kweli tuoe tu lakini kwajinsi nilivyo kamilika hapa na jinsi nilivyo na furaha kama kungekuwa na ndoa za kukutana weekend tu nadhani zingekuwa zinatufaa sisi wengine.
Mungu sijui aliwaza nini kusema tuoe labda siku nikioa naweza kujua.
Una pesa,biashara,kazi,una kula vizuri, unajua kutongoza,una hobbies zako kibao,una furaha ukiwa mwenyewe,una uhakika wa kupata mwanamke mwingine yeyote mzuri. Sasa why kuoa?kwanini tuoe wenzetu wazungu wanajua marriage is not for men.
Kuna mda natamani kuoa sana,Kuna mda nawaza hivi nikioa sio ndo mwanzo wa kunihamishiwa mastress yake na mahuzuni yake kwenye maisha yangu yaani nitoe mali,nichangishe watu kusogeza stress kwenye maisha yangu?Ila yote kwa yote, hayo ni mawazo tu ngoja nioe nijionee mwenyewe