1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
- Thread starter
- #21
Eeeh, bora single mother hamna usumbufu, sana sana tunakumbuna na mizinga ya kodiKwani mnaogopa sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeeh, bora single mother hamna usumbufu, sana sana tunakumbuna na mizinga ya kodiKwani mnaogopa sasa?
Nlikapata nikiwa under 25Hongera singo faza!
Nilidhani bila bila
Nini sasa? Unataka umshauri mtoto wa watu ahame kwao mapema yote hii?Hahaha
Kamoyo kananisukuma balaa, soon nta joinNakuona kiroho kinadunda kwa speed kali,usiogope,ingia tu tujumuike,sie tulishawahi tunakukaribisha...
Kuna swali langu haujanijibu.Eeeh, bora single mother hamna usumbufu, sana sana tunakumbuna na mizinga ya kodi
Lipi hiloKuna swali langu haujanijibu.
Hapo hapana aisehhKwani mnaogopa sasa?
Sasa atazaa na kusomesha liniArobaini bado mapema. Afanye 45 maana ujana ndiyo huwa unaishia hapo.
Litafute. Nimekuuliza kama umeshahama kwenuLipi hilo
Atazaa tuu na watoto wake wataonekana kama wajukuu.Sasa atazaa na kusomesha lini
Nini sasa? Unataka umshauri mtoto wa watu ahame kwao mapema yote hii?
Home nlitoka tayariLitafute. Nimekuuliza kama umeshahama kwenu
Hehehe! Hii ni satire[emoji23]Atazaa tuu na watoto wake wataonekana kama wajukuu.
Mfano Mzee Mengi na watoto wake wa mwisho.
Nlitoka home 7 yr agoMiaka 32 kuhama nyumbani ni mapema? ?
HahahaHehehe! Hii ni satire[emoji23]
Ulikuwa mkubwa sana!Nlikapata nikiwa under 25
Yeeh! !!miaka 25 ndoa! !!aise mimi big noUlikuwa mkubwa sana!
Ilipaswa uwowe papo hapo