Nimetimiza miaka 9 bila kufanya ngono

kama hujafanya for 9 yrs ulikua unafanywa endelea kutoa tu
 
Mkuu kama ukiwa na kazi inayokuweka bize sana then ikawa inakuingizia mkwanja mrefu hiyo kwangu inawezekana. Ila kama upo upo tuu na hizi ajira za awamu ya tano nakihakikishia utagegeda hadi semen bank ziishiwe fluid
 
Ulikuwa bado mtoto na hapo nyuma zilikuwa ni michezo ya komborela!
 
Mi tangu nimezaliwa mpaka nimefika miaka 25 nilikuwa sijawah kufanya mapenzi. Nimekuja kufanya mpenzi kwa mara 1 nikiwa nipo chuo mwaka wa mwisho semister ya mwisho.

Mara ya kwanza nilikuwa ninajaribu kuwa nikifanya mpenzi manii zitatoka.
 
wengi wanahubili yaliyo andikwa ukienda kwenye maisha harisi ni waongo tu.
 
Sasa utapataje hamu wakati unatamani kuzaa ( kubeba mimba ), hapo huwezi kuwa na mwanamke zaidi ya Me
 
Mkuu unajua the LAW OF USE AND DISUSE?
 
Mkuu kama ukiwa na kazi inayokuweka bize sana then ikawa inakuingizia mkwanja mrefu hiyo kwangu inawezekana. Ila kama upo upo tuu na hizi ajira za awamu ya tano nakihakikishia utagegeda hadi semen bank ziishiwe fluid
mmm!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…