Nimetimiza miaka 9 bila kufanya ngono

Nimetimiza miaka 9 bila kufanya ngono

Hebu imagine ndo wewe sasa mda wote huo hujawahi fanya mapenz, ungejisikiaje? leo mwana jf mwenzenu natimiza miaka tisa bila zinaa, mwaka wa 2009 ndo ulikuwa mwaka wangu wa mwisho kufanya mapenz... ni miaka mingi sana kwa mwanadamu kutofanya mapenz wengi wenu mtanibeza wakati wengine hata wiki hamuwez jizuia, natumai
mwakaka huu mwez wa 8 ntaonja papuchi. mpaka sasa ninavyo andika sina dem wala mchumba naishi mwenyewe tu! japo swala la kujizuia si la kitoto ila nimeweza namshukulu mwenyez mungu kwa kunijalia uvumilivu.
Ila punyeto kama kawa sio?
 
Nimepata jibu la hii thread yako mkuu;-

Natamani kubeba mimba niwe mwanaume wa kwanza Afrika
 
Umeona sasa? madhara ndio haya unatamani kubebeshwa mimba!

Na sidhani kama marinda yako yatakuwa mazima
 
nimefanya ngono kwa mara ya kwanza nikiwa na miaka 25, ilifika mahali naweza cmamisha cku nzima, kwenye daladala na ule mbanano ukiguswa na wowowooo la mdada una kuta umesha jichafua, kuna wakati akili inakua kama ime stack hivi hasa ikitokea umeona maumbilea ya mdada{uchi}, na hapo siku moja moja tulikua tuna stua puchu maisha bila ngono kabisa ni magumu ila maisha ya bila ngono bila nyeto mpaka ndoa n sawa na haiezekan japo inawezekana. inahtaj iman kubwa sana na malengo. ua nawa zoom tu wanao ubiri usifanye ngono kabla ya ndoa bila kutupa technic zao walizo tumia cjui n kweli wao waliweza?
 
Kuna uzi nimeona unasema kwamba unatamani kupata mimba [emoji849][emoji849]
 
Back
Top Bottom