Nimetimiza miaka 9 bila kufanya ngono

Nimetimiza miaka 9 bila kufanya ngono

Wanawake wapo wengi kuliko wanaume , mda wote hukuwatendea haki , hata hivyo kama hukutumia njia ingine nakupongeza kwa kuitesa akili kiasi hicho. Asubuhi jogoo mzima mwenye afya lazima awike!
 
Huwa sielewi nyie mnaoita ngono na tena kuona kitu kibaya. Je bila wazazi wako kufanya mapenzi ungezaliwa?.unajivunia kutokufanya mapenzi na unaona kama umefanya jambo jema kumbe ni upumbavu tu.yaani ukae muda wote bila kufanya mapenzi itakuwa una Matatizo ya akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengi hawajui kuwa kitu kinachoitwa "self-mastery". Ni siri ndogo tu, "control your brain". Ukiweza kuutawala ubongo wako na kujua namna ya kuelekeza nguvu zako hapo waweza kuwa kwenye juu ya maisha ya kuongozwa na hisia, mihemko na ogani za mwili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera me nmetimiza minne pia na naimani nna miwili mbele!!
 
Hongera sana.

Ila kaa ukijua kukaa Muda mrefu bila ya kufanya TENDO kunachangia UUME kutokufanya Kazi kama inavyostahili/ipasavyo.

Hiyo ni sawa na Chombo cha Moto kinachotumika, na Chombo cha Moto kisichotumika kwa muda mrefu.

Kama unaona mambo ya kufanya starehe, au kuwa na Mpenzi ni ngumu, nakushauri:-

Ndugu ikiwezekana jitahidi hata UOE
 
Siku ukiota ndoto nyevu ukiwa umelala uchi bao linaweza kufika kwenye ceiling board
 
Jf ina vituko.....kuna memba mme humu alishawai kusema anatamani kubeba mimba hahaaaaaaaaaa
 
Bajeti yako ya sabuni ikoje[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom