Nimetimiza miezi minne sasa bila kunywa pombe!

Nimetimiza miezi minne sasa bila kunywa pombe!

Hapo watakao msingizia JPM eti ndie kakusababishia watachuma dhambi!!!
JPM hajatimiza miaka 4 tangu aingie madarakani.
Uliacha enzi "watu tunachezea" hela
Nimeamua kutoka kwenye nafsi na roho yangu
Kuwa mimi na pombe basi mkuu wasalimie mwanza
 
Ase umejitahidi miezi mnne
Inabidi leo ujipongeze japo kwa vibia viwili kama hutojal[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ahsante mkuu lakini situmii kwa sasa nimeacha wala harufu yake siipendi
 
Wanywaji wengi wanasema sisi ambao hatunywi pombe huwa maendeleo ni sifuri, which is true!

Mi hela angu sijui inapotea wapi japo najitahidi kusave au ni chuma ulete?!
Ni mipango tu kujiwekea ya matumizi mkuu
 
Back
Top Bottom