Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu aniepushe kwa kweli mkuu naongea kutoka moyoniSi useme tu uchumi umeyumba? Huoni unaanza kutamani tena pombe! naamini mambo yakikaa sawa utarudia.
Haaaahaaa hataki kusema ukweli huyu[emoji23] [emoji23] [emoji382]Si useme tu uchumi umeyumba? Huoni unaanza kutamani tena pombe! naamini mambo yakikaa sawa utarudia.
Hamna vyuma kukaza mkuu uamuzi tuVyuma vikikaza bhana utayasikia mengi
Hizi rumors tu,nimejaribu kuwachek wale ma agent wakubwa wakusambaza bado bei za kret ni zile zile,,ranging 24400-25000 kwa bia ndogo, sasa hapo bia inauzwa je buku?Mkuu pombe zimeshuka bei, chupa ndogo buku.
Rudi kundini
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mie ikifika saa 10 leo jioni nitatimiza masaa 24!!!
@donbeny: Pombe mbaya mungu apendiSavings??? Pombe sio mbaya kama unakunywa kiasi na sio kila siku upo bar.
Haaaahaaa....usiombe stress za jiwe zikukute sober! Hakuna rangi unaacha ona!Maisha haya kama hunywi pombe unaishi ili iweje?
Nimeamua kutoka kwenye nafsi na roho yanguHapo watakao msingizia JPM eti ndie kakusababishia watachuma dhambi!!!
JPM hajatimiza miaka 4 tangu aingie madarakani.
Uliacha enzi "watu tunachezea" hela
Hiyo kali mkuuMie ikifika saa 10 leo jioni nitatimiza masaa 24!!!
@hazard [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaishi mbona tenaMaisha haya kama hunywi pombe unaishi ili iweje?
Hao wataliano mafirauni tu na hakuna watu wahuni kama haoUmesoma hapa lakini mkuuView attachment 820134
Ahsante mkuu lakini situmii kwa sasa nimeacha wala harufu yake siipendiAse umejitahidi miezi mnne
Inabidi leo ujipongeze japo kwa vibia viwili kama hutojal[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Najua kama zimeshuka bei kiongoziMkuu pombe zimeshuka bei, chupa ndogo buku.
Rudi kundini
Ni mipango tu kujiwekea ya matumizi mkuuWanywaji wengi wanasema sisi ambao hatunywi pombe huwa maendeleo ni sifuri, which is true!
Mi hela angu sijui inapotea wapi japo najitahidi kusave au ni chuma ulete?!
Mungu aniepushe kwa kweli mkuu naongea kutoka moyoni
Soma vizuri kaandika miezi minne (4 months)Hapo watakao msingizia JPM eti ndie kakusababishia watachuma dhambi!!!
JPM hajatimiza miaka 4 tangu aingie madarakani.
Uliacha enzi "watu tunachezea" hela
@donbeny: Pombe mbaya mungu apendi
Hapana mkuu nimeacha kwa ridhaa yangu mwenyewe sina kisingizio hicho kweliHaaaahaaa hataki kusema ukweli huyu[emoji23] [emoji23] [emoji382]
Sina tamaa tena na pombe mkuuUsimjaribu Mungu. Tamaa yako ndio itakuponza... ha ha haaaa