A
Anonymous
Guest
Habari ninaomba msaada wa kisheria ili haki iweze kutendeka , nimetishiwa kudhalilishwa na Mtoa huduma wa Pesa X kama inavyooneka hapo chini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu awasaidie kwa kweli. Inasikitisha sana. Watu wanadharirika sana huko Pesa X.Hivi ni shida gani hizo zisizovumilika hadi mnakimbilia kukopa huko? Kila uchwao watu wanalalamika kudhalilishwa lakini bado kuna wengine mnatumbukia hukohuko.
Duh hii ningekufa na mtu.Utadhalilika sana, lipa tu hilo deni. Kuna mtu kaanzishiwa group la whatsapp limeitwa Nauza mk......u ili nipate pesaro za kulipa mkopo Pes X. Huko waliokuwa added ni family members wake kama Baba, Mama na ndugu wengine.
Profile Picture imewekwa picha yake na huko zinatumwa picha zake alizopiga zenye utata.
Jamaa celebrityDuh umeundiwa hadi WhatsApp group
Aisee naombeni msaada wa kisheria mana nimelipa nusu bado nusu niliwambia nitamalizia lakini wapiJamaa celebrity