kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,323
- 12,594
Mkuu kwani unafanya kazi pesa x ama?Mdogo wangu jifunze kuwa MWAMINIFU! UAMINIFU unalipa na hakika uamnifu utakuja kukupa maisha mbele ya njia achana na Utapeli. Hii mitandao inatunza kumbukumbu vizazi hata vizazi.