KERO Nimetishiwa kudhalilishwa na mtoa huduma wa Pesa X

KERO Nimetishiwa kudhalilishwa na mtoa huduma wa Pesa X

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Wana mikwara!.... Ukiwa kunguru!... Utaogopa kama kweli vile..

We kausha!... Hakuna kitu wanaweza kukufanya!....niamini Mimi mkuu!

Mimi kampuni zote unazozijua online nimesha wakopa!... Na sitegemei kuja kuwalipa!

Walishapiga simu,kutuma msg za vitisho mpaka wameamua kumwachia Mungu!
 
HAWA MBWAAA WAMENIUNGAAA JANA NA NAMBA YA MFANYAKAZI NILIFANYANAEKAZI MIAKA HIO KUMBE WAMEINGIA KWENYE LINE WAKASHUSHA CONT ZAOMZOTEE
 
Wewe lipa madeni ya watu ...

Mnakopa halafu wakianza kuwadai mnakuja kulia lia kwa huruma humu ndani

Wabongo ndo hatuaminiki...

Shida hazijawahi isha..

Dawa ya deni ni kulipa sio kutafuta huruma
 
Naona umeomba lipa namba mwenyewe 😄
Wakati mnakopa sherehe,kulipa ugomvi

Ova
MPWAA HELAAA YAOOO FREEMASSON NYOKOO MAMA...ZAO YAAAN MADADAA MTAAANI WAMEANZISHA KIJIWEE WAKIDAIWA HUKU WANATAFUTA KALPUNI ZINGINE WANAKOPA WANALIPA SASA UJINGA WA HAWA JAMAA

YAAN UKIKAAA HATA SIKU 90 UKALIPA HELA YAO LTE WANAKUTUMIA MSG NZURI UNAWEZA KOPA KIASI SH KADHAA AISEE N LAANA KAMA UMEKOPA 70 UKALIPA 150 WANAKUPA NAFASI KOPQ 110 WEEE HASAAA HIZISIKUUU

ALHAMISI BRACH MAREJESHO
IJUMAAAA ASSA MAREKESHOOOUTACHEKA WANAVYOPAMBANA
HAPOOOOOOOO BADOOOO MUHAAA AJAJAA KULAMBA BK 2 ZAKEE ACHEE

NIENDELEEE NIACHEEE KWANN UACHEEE KAMA UMELIANZISHA TUENDEEE MPAKA ASBH WEÈE

WANAPOKOSEA N KUANZA KUTUUNGANISHA MAKUNDI YAOO YA WHASTUP TUSIOHUSIKA HUU UHUNII
 
Wana mikwara!.... Ukiwa kunguru!... Utaogopa kama kweli vile..

We kausha!... Hakuna kitu wanaweza kukufanya!....niamini Mimi mkuu!

Mimi kampuni zote unazozijua online nimesha wakopa!... Na sitegemei kuja kuwalipa!

Walishapiga simu,kutuma msg za vitisho mpaka wameamua kumwachia Mungu!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
MKUUU SHERIAAA MSAADA N KUTOWALIPA SIMPLE

YAAN UNAHAKI NA HAKUNA ATAKAE KUPELEKAA POPOTEWW MBWAAA HAWAA

UAMINI WAKIKUSUMBUA NIINBOX

HAWA NYOKOOO TU KAMA WAHUNI WA GHANA NA NIGERIA NJOO INBOX OOH SIITAJI DAMU WALA PESA YAKO BADAE WANAKUTUMIA MAFUTA HAYA YAKO NCHINI KWENU UKISEMA HAPANA UNAAMBIWA DOLLER 110 MANINA MBWA WALE....

MJINISHULE

MSICHOJUA M NIKIWACHOKONOA SEHEMU NIWACHEKESHE

HAYA.MAKAMPUNI MENGI N WAKENYA

2.
HAWA XPESA
MKOPO CASH
hidaya pesa
Tausipesa yaan wanamajina 8 n kampuni ya mtu mmoja

Ukikopa xpesa uende mloan ukaoope utaambjwa ushawahi kopaa sehemu hapanaa wanakwambiq xpesa unawajua mshipa ya wamama inawatoka nakambia..wakienda kwingine weee wanakutanq na yaleyale hahaha ......
 
Back
Top Bottom