KERO Nimetishiwa kudhalilishwa na mtoa huduma wa Pesa X

KERO Nimetishiwa kudhalilishwa na mtoa huduma wa Pesa X

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Wana mikwara!.... Ukiwa kunguru!... Utaogopa kama kweli vile..

We kausha!... Hakuna kitu wanaweza kukufanya!....niamini Mimi mkuu!

Mimi kampuni zote unazozijua online nimesha wakopa!... Na sitegemei kuja kuwalipa!

Walishapiga simu,kutuma msg za vitisho mpaka wameamua kumwachia Mungu!
Ww kweli jitu bandia
 
Utadhalilika sana, lipa tu hilo deni. Kuna mtu kaanzishiwa group la whatsapp limeitwa Nauza mk......u ili nipate pesaro za kulipa mkopo Pes X. Huko waliokuwa added ni family members wake kama Baba, Mama na ndugu wengine.

Profile Picture imewekwa picha yake na huko zinatumwa picha zake alizopiga zenye utata.
Kekekeke! Hatari, halafu admin ni pesaX wenyewe. Family member akileft dakika sifuri wanamrejesha.
 
Halafu waweza kukuta ni katoto! Kamebahatika kupata kazi ya kufuatilia mikopo. Kanakumalizia ma frustration yake!

Wengi ni mikwara tu. Piga block kwenye namba zao zote.

Hawana adabu, sifa, uwezo wa kufikiri, akili wala hekima..Bure kabisa...
 
Tatizo ni mbinu chafu ya utakatishaji fedha inayolindwa na serikali.

Kuna cyberbullying ya kutosha humo
 
Back
Top Bottom