A
Mungu awasaidie kwa kweli. Inasikitisha sana. Watu wanadharirika sana huko Pesa X.Hivi ni shida gani hizo zisizovumilika hadi mnakimbilia kukopa huko? Kila uchwao watu wanalalamika kudhalilishwa lakini bado kuna wengine mnatumbukia hukohuko.
Duh hii ningekufa na mtu.Utadhalilika sana, lipa tu hilo deni. Kuna mtu kaanzishiwa group la whatsapp limeitwa Nauza mk......u ili nipate pesaro za kulipa mkopo Pes X. Huko waliokuwa added ni family members wake kama Baba, Mama na ndugu wengine.
Profile Picture imewekwa picha yake na huko zinatumwa picha zake alizopiga zenye utata.
Jamaa celebrityDuh umeundiwa hadi WhatsApp group
Aisee naombeni msaada wa kisheria mana nimelipa nusu bado nusu niliwambia nitamalizia lakini wapiJamaa celebrity