KERO Nimetishiwa kudhalilishwa na mtoa huduma wa Pesa X

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Aisee jamaa hawafai..., huko India watu wamejiua sababu ya kudhalilishwa na hao jamaa wa mikopo
 
Wewe Wala usijali, kama hayo matusi hayakuathiri, kausha tu. Wakiyamaliza wataachana wewe.

Hizo apps haziko kisheria, hawezi kukipeleka popote. Wao wenyewe ni matapeli tu. Kumpa Mtu 7000/= riba 3800/= Kwa siku 6 kama sio ujambazi ni Nini?!
 
Duh!...
 
Mkuu unaongea ukweli. Walinikopesha nikakaa kimya nika warlock wana namba kibao kama madalali. Wakipiga nikijua niyeye nakata nablock. Wakakaa kimya wenyewe. Kwa kuwa mzigo zilikuwa nao nilkalipa. Wananipigia kila saa eti nikope tena Nawalia timing tu.

Nili install app moja hivi wakawa hawanioni popote..wkt deni nimebakia kama 10k hivi nikaachia free kila kitu mdada mmj akanipigia nikapokea.
Eti wewe Mr x lipa hela ya watu.

Mimi..hela nishalipa unataka nini tena.? Eti.. Unadeni bado. !

Tukazinguana hapo..lkn baadae nikafuatilia nikajua wanafanya hii biashara illegally ni vile tu nchi yetu hii wewe iangalie tu. Ya ajabu sana mtu anaweza akaua huko akaja kujificha hapa.

Awali nilijua ni matapeli wa kinaijeria Nigeria ila baadae nikajua ni watching flan hivi wameajili ndg zetu wanawatumia kutukana wakopaji.


Kwa sasa nikikopa sirudishi hata Mia.

Ila kuna hawa wanaitwa branching dah jamaa wastaarabu sana.

Yaani binafsi nawaheshim hawana riba kubwa na watakusubiri hadi mwisho wa mwezi.

Usithubutu hawa wengine
 
Hivi pesa yetu ya walipa kodi toka BODI YA MIKOPO unayosemea huko chuo cha Mipango utairejesha kweli??

Kama mtaaan tu unaonyesha siyo Mwaminifu na unahulka za Utapeli utakuja kupata wapi kazi ufanye kwa Uadilifu??? Je, nani atakuja kukupa connection kwa upuuuzi huu unaopost?

Mdogo wangu jifunze kuwa MWAMINIFU! UAMINIFU unalipa na hakika uamnifu utakuja kukupa maisha mbele ya njia achana na Utapeli. Hii mitandao inatunza kumbukumbu vizazi hata vizazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…