KERO Nimetishiwa kudhalilishwa na mtoa huduma wa Pesa X

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mdogo wangu jifunze kuwa MWAMINIFU! UAMINIFU unalipa na hakika uamnifu utakuja kukupa maisha mbele ya njia achana na Utapeli. Hii mitandao inatunza kumbukumbu vizazi hata vizazi.
Mkuu kwani unafanya kazi pesa x ama?
 
Aaaah dadeki hizi app zinakuacha uchi kabisa , yani wanapata access ya kila kitu dadeek
 
Wanakuhasicha kukopa na matangazo kedekede kumbe matapeli..wanasema riba ndogo lakini unakuja Kuta riba ni nusu ya mkopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…