Nimetoa pesa kwa makato kidogo

Nimetoa pesa kwa makato kidogo

Mkulima na Mfugaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
1,047
Reaction score
1,832
Leo nimetoa pesa kwa wakala, kwenye simu nilikua na 50000.

Wakala akanambia tumia njia ya kawaida Kama unatuma pesa akanipa namba ya kawaida, kwenye kiasa akanambia weka 49550 kweli nikaweka kwenye makato nikakatwa 410 Sasa nilikua nataka kujua hizi ni aina gani ya laini na utaratibu wa kuzipata ukoje ni namba ya Tigo Pesa
 
Ndo ninavofanya mimi sasa hv..jana nilitaka kutoa hela airtel money 250k nikaona makato makubwa nikajitumia kwa lipa no yangu ya voda wakakata 2600 then nikatoa bure kwa mpesa thru lipa no [emoji23][emoji23]...
ukiwa na lipa ya voda mambo ni rahisi kabisa.
 
Leo nimetoa pesa kwa wakala, kwenye simu nilikua na 50000.

Wakala akanambia tumia njia ya kawaida Kama unatuma pesa akanipa namba ya kawaida, kwenye kiasa akanambia weka 49550 kweli nikaweka kwenye makato nikakatwa 410 Sasa nilikua nataka kujua hizi ni aina gani ya laini na utaratibu wa kuzipata ukoje ni namba ya Tigo Pesa
umekatwa 400 yeye akakupa bei gani?
 
Leo nimetoa pesa kwa wakala, kwenye simu nilikua na 50000.

Wakala akanambia tumia njia ya kawaida Kama unatuma pesa akanipa namba ya kawaida, kwenye kiasa akanambia weka 49550 kweli nikaweka kwenye makato nikakatwa 410 Sasa nilikua nataka kujua hizi ni aina gani ya laini na utaratibu wa kuzipata ukoje ni namba ya Tigo Pesa
Upo sehemu gan????
 
Back
Top Bottom