Nimetoka kifungoni a.k.a ban, sikujua kabisa

Nimetoka kifungoni a.k.a ban, sikujua kabisa

Screenshot_20230116-040736.png

Moderators jamani mkamlamba ban ambayo mama ed mwenyewe hajui ni picha gani aliyotuma
 
Nenda pm kwa mods ndio uombe msamaha huko, la sivyo wameshakunote.
 
Hongera, ban jeiefu kawaida tu. Kuna mjinga mmoja alisema ikiwa unafikiri nje ya box n lazima wakutoetoe kwenye box now and then kawaida tu.

Sema suala la kunotify reason mi kwangu kwangu waliniambia kabisa hii ban ni kwa sababu ya link hii hapa.
 
Hayajakukuta mkuu wengine wanakutakia unabishana na mtu ghafla tu anakuita wewe karungu yeye!,kwanini nawe usimshushie matusi ya nguoni!
Ndio kujitakia kwenyewe huko, mtu akikuita Karungu yeye kwani ni kweli wewe ni karungu yeye? Si unampotezea unaendelea na mijadala mingine tu, kumtukana matusi ya nguoni sio dawa.
 
Back
Top Bottom