Nimetoka kifungoni a.k.a ban, sikujua kabisa

Nimetoka kifungoni a.k.a ban, sikujua kabisa

kuna mmoja humu nilimtukana sana majuzi kati but sijapigwa ban,,so sielewi inakuaje mtu analambwa ban.
Ulimuanza au alikuanza?? Kuna muda wanafuta hizo content za matusi
 
kuna mmoja humu nilimtukana sana majuzi kati but sijapigwa ban,,so sielewi inakuaje mtu analambwa ban.
Moderator hawakuiona pia uliemtukana hakulipoti au hakukupatikana kiherehere wa kulipoti
 
Ndio kujitakia kwenyewe huko, mtu akikuita Karungu yeye kwani ni kweli wewe ni karungu yeye? Si unampotezea unaendelea na mijadala mingine tu, kumtukana matusi ya nguoni sio dawa.
Siwezi kukaa kizembe niitwe karungu yeye nivumilie!
 
Back
Top Bottom