BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,330
Niliye mtukana asingeweza kuripoti maana yeye ndo alianza kutukana.Moderator hawakuiona pia uliemtukana hakulipoti au hakukupatikana kiherehere wa kulipoti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliye mtukana asingeweza kuripoti maana yeye ndo alianza kutukana.Moderator hawakuiona pia uliemtukana hakulipoti au hakukupatikana kiherehere wa kulipoti
Nilijua tu.Karibu
Hayajakukuta mkuu wengine wanakutakia unabishana na mtu ghafla tu anakuita wewe karungu yeye!,kwanini nawe usimshushie matusi ya nguoni!
Hata kama sio kweli lazima tushikishane adabu kidogoKwani ukiitwa hivyo ni kweli?[emoji23]
Kuna shida gani mkuuNilijua tu.
Wewe tutamalizana eneo letu[emoji23][emoji23][emoji23]karungu yeye wewe
Aliongea kimvuto mno nkajua joka litanasa.NA LIKANASA.Kuna shida gani mkuu
Heeee weee. Siwez
Bado hujakoma