Nimetoka kifungoni a.k.a ban, sikujua kabisa

Nimetoka kifungoni a.k.a ban, sikujua kabisa

Ila Mama Edina ile post 🤣🤣 kweli ilinishawishi sana kujifunza kwa kile ulichopost. Ila kwakuwa nilipiga picha kwa simu ngoja niwaoneshe wana jf kilichokufanya ukala ban.
Ila nilijua utakula ban ka mwez kumbe siku tatu tu.

Siku nikiwa sijisikii kuingia jf ntakuomba mbinu za kuwekwa kando🤣🤣🤣
 
[mention]Figo76 [/mention] huyu nae bado hajatoka kifungoni hila pole ban inauma sana kama jf ndio kampan yako unakuwa mpweke
 
Nilipigwa ban kwa kutuma kichekesho kilicho na uchafu inayohusu chiku kunyanduliwa
 
Ndio kujitakia kwenyewe huko, mtu akikuita Karungu yeye kwani ni kweli wewe ni karungu yeye? Si unampotezea unaendelea na mijadala mingine tu, kumtukana matusi ya nguoni sio dawa.
sawa mrembo
 
Hayajakukuta mkuu wengine wanakutakia unabishana na mtu ghafla tu anakuita wewe karungu yeye!,kwanini nawe usimshushie matusi ya nguoni!
kuna mmoja humu nilimtukana sana majuzi kati but sijapigwa ban,,so sielewi inakuaje mtu analambwa ban.
 
Baada ya kugunguliwa muungwana ni kushukuru. Nashukuru lkn sikujua kisa nimetuma picha chafu ipi.

Ni uungwana kuomba radhi. Naomba Sana. Sikujua kabisa. Viongozi wangu
Mi nikipata ban mpaka Leo sijui ya nini sibishani na watu sijatuma picha natamani niwaulize jf sioni sababu pia maana hainipunguzii lolote
 
Back
Top Bottom