Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Heeee weee. Siwezhebu weka hiyo picha uliyopigiwa ban
Nitumia pmHeeee weee. Siwez
Tuma PM huo unyama huwezi niniHeeee weee. Siwez
Aisee,kibabe zaidiTuma PM huo unyama huwezi nini
Pisi mpaka inapigwa ban hiyo sio pisi ni mwamba tu!Aisee,kibabe zaidi
Kupata ban jf ni kujitakiaBaada ya kugunguliwa muungwana ni kushukuru. Nashukuru lkn sikujua kisa nimetuma picha chafu ipi.
Ni uungwana kuomba radhi. Naomba Sana. Sikujua kabisa. Viongozi wangu
Hayajakukuta mkuu wengine wanakutakia unabishana na mtu ghafla tu anakuita wewe karungu yeye!,kwanini nawe usimshushie matusi ya nguoni!Kupata ban jf ni kujitakia
Kwahiyo unasemaje kuhusu ban za GENTAMYCINE ?Ban ni kwa ajili ya wajinga tu
Hukumbuki kama uliweka pic ya porn hapa?? Au unataka tukupige ban ya kujisahaulisha?Baada ya kugunguliwa muungwana ni kushukuru. Nashukuru lkn sikujua kisa nimetuma picha chafu ipi.
Ni uungwana kuomba radhi. Naomba Sana. Sikujua kabisa. Viongozi wangu
Ndio kujitakia kwenyewe huko, mtu akikuita Karungu yeye kwani ni kweli wewe ni karungu yeye? Si unampotezea unaendelea na mijadala mingine tu, kumtukana matusi ya nguoni sio dawa.Hayajakukuta mkuu wengine wanakutakia unabishana na mtu ghafla tu anakuita wewe karungu yeye!,kwanini nawe usimshushie matusi ya nguoni!
Watulete ushahidi🤣 ila Mama Edina alichafukwa ile siku 🤣🤣View attachment 2482890
Moderators jamani mkamlamba ban ambayo mama ed mwenyewe hajui ni picha gani aliyotuma