MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Kwamba kuna askari wengi kuliko wananchi!?Kama huijui tz na idadi ya askari jaribu kufanya hilo mkuu
Jaribu mkuu hata usijaliKwamba kuna askari wengi kuliko wananchi!?
Watawala wanaogopa kimoyomoyo huku kundi kubwa linamsubiri wa kulianzisha,yaani kama utani vile inaenda kutokea na polisi hawatawezaKama huijui tz na idadi ya askari jaribu kufanya hilo mkuu
Japo sio dalili nzuri kiukweliWatawala wanaogopa kimoyomoyo huku kundi kubwa linamsubiri wa kulianzisha,yaani kama utani vile inaenda kutokea na polisi hawataweza
Kwa ushauri wangu mimi Samia mda bado upo wa kuliokoa Taifa watu wengi hawampendi
Ina maana kuna police wengi kuliko wananchi million 64 acha ujinga wewe....Kama huijui tz na idadi ya askari jaribu kufanya hilo mkuu