Nimetoka kuangalia fujo za mwendo kasi, nimenotice kitu muhimu sana

Mimi naona maandamano yafanyike siku nyingine yoyote lakini si siku ya kupiga kura.

Maana hiyo siku kuna watu wengi watataka kutimiza haki yao ya kikatiba kupiga kura kiroho safi tu na kukawa na fujo wanaweza kudhurika.

Haki yako ya kufanya civil disobedience inaishia inapoanzia haki ya mtu mwingine ya kupiga kura.
Hio haki mwananchi wa tanzania hana tena kiongozi ilishapokwa ....na watu wqkishajipitisha hakuna kinachoweza fanyika iyo siku wanayoisubiria wajitawaze kuwa viongozi ndo siku sahihi ya kuwaonyesha kwamba nani anaitoa rejea chaguzi zilizopita vitendo na viashiria kwamba mtanzanua hio haki hana tena
 
Nimetoka kuangalia fujo za mwendo kasi, nimenotice kitu muhimu sana.

Polisi wa Tanzania hawana utayari na hawatoshi kuzuia maandamano makubwa ya ghafla.

Sasa swali langu la msingi sana, ikitokea hawa Wananchi wakaamua kufanya fujo vituo vingi vya kupigia kura, ofisi za serikali kadri iwezekanavyo, italeta implication gani kwenye uchaguzi na maandamano?

Mada iko mezani kila mmoja aijidili kimkakati sana, aseme faida na hasara ya maoni yake.
Kwa tanzania hii ni wananchi tuna kauoga tu .lakn tupo wengi sana yani kila mtu akitoka siku hiyo anayeona hii isue ya reforms ni muhimu basi polisi wahataweza kitu.

Kinacho fanyika hapa tanzania kwa miaka ya nyuma ni maandamano kuwa maybe mkoa 1 au 2 au pale kwenye majiji tu. Hiyo inapelekea polisi wengi kusafiri kutoka sehemu mbalimbali kwende kuongeza nguvu huku kwenye maandamano.

Lakin kama siku hiyo kila sehemu kutakuwa kila sehemu maandamano yatafanyika basi kila polisi atapambana sehemu yake . Wale jamaa wa field force unit siyo wengi sana na hawataweza kupambana na wananchi wote .

Kuhusu upigaji wa kura kama kila mtu akitoka siku hiyo basi ata ilo zoezi alitakuwepo siku hiyo .

Mbona kwenye kenya ,napel wameweza kwa nn tanzania tusiweze
 
Kuna namna hata polisi wanaonyesha kuchoka, hii ni kweli kwa sababu tunaishi na askari kwenye mitaa yetu, mara nyingi tupo nao kwenye malalamiko juu ya mwenendo wa nchi katika engo ya uongozi.
Wale wa chini wanatumika like toilet paper wakubwa Wana enjoi Sasa wanaishia kula kwa mgongo wa Hawa wadogo Mana ndio wako field. Wakubwa hawawezi ingia front ujue,yaani bana unaumia huku chini wakati mwenzako akanunua bonds za serikali za bilioni mbili za miaka 25 kiwastani anakula 2*15/100,= 300M Kila mwezi anayo wastani wa 25M why asikusisitizie amani jamani kweli na hizo hapo ni passive income, na lazima amfokee askari mdogo aende front akatulize nyumbu wasilete hasira wakaharibu ugali wa chui. Chui wenyewe makali yao wanatumia nguvu ama wanapewa huo uchui na nyumbu . Assume watu waamke asubuhi hakuna askari yeyote anayetii huyo anayekula masikini unadhani kitatokea nini
 
Sasa kwa hapo anaye takiwa kuhukumiwa wakwanza ni anaye pokea order kwa sababu anafanya? Kazi ambayo ipo nje ya maadili yake na kiapo chake .

Wananchi tunatakiwa ku deal na hawa askari wa chini kwa sababu wengi wao wamejaa sifa . Mm nimesha ona watu wengi wanaingia kwenye mikono ya askari na kupigwa vibaya mno .siyo kwamba hawajafata maagizo lakn ni kwa sababu askari hao wanapenda sifa

Hiyo tarehe 29 October ukikamata askari kwenye anga zako maliza naye tu .kwa maana siyo mtu rafiki ata kidogo kwako .kwa walio pita kweny mikono ya askari hao watakuwa wananielewa hap.

Kwa uwezo wa mungu October tutashinda
 
Hio haki mwananchi wa tanzania hana tena kiongozi ilishapokwa ....na watu wqkishajipitisha hakuna kinachoweza fanyika iyo siku wanayoisubiria wajitawaze kuwa viongozi ndo siku sahihi ya kuwaonyesha kwamba nani anaitoa rejea chaguzi zilizopita vitendo na viashiria kwamba mtanzanua hio haki hana tena
Sawa.

Lakini mwananchi akishakubali kuitumia haki hiyo anatakiwa kuheshimiwa na kuachiwa aitumie hiyo anayosema ni haki yake.

Ndiyo demokrasia hiyo.

Peter Madeleka alikuwa CHADEMA.

CHADEMA ikakataa kushiriki uchaguzi.

Peter Madeleka akatoka CHADEMA na kwenda ACT iki atumie haki yake ya kikatiba ya kupigiwa kura.

Peter Madeleka ana haki ya kupigiwa kura bila vurugu, kwa sababu kachagua kushiriki katika uchaguzi.

Hata kama uchaguzi wake ni wa makosa, kidemokrasia ana haki ya kufanya uchaguzi wa makosa.

Msimnyime haki hiyo.
 
Nimetoka kuangalia fujo za mwendo kasi, nimenotice kitu muhimu sana.

Polisi wa Tanzania hawana utayari na hawatoshi kuzuia maandamano makubwa ya ghafla.

Sasa swali langu la msingi sana, ikitokea hawa Wananchi wakaamua kufanya fujo vituo vingi vya kupigia kura, ofisi za serikali kadri iwezekanavyo, italeta implication gani kwenye uchaguzi na maandamano?

Mada iko mezani kila mmoja aijidili kimkakati sana, aseme faida na hasara ya maoni yake.
Wananchi wakiamua kwa umoja ,hakuna polisi atakayezuia ,viongozi na polisisiemu waache kuwachukulia poa wananchi wavuja jasho wanaoteseka ili wao walipwe mishahara na kutembelea vieiti na kujenga majumba mbweni ufukweni ,kuanzisha mabiashara ya mabilioni ya shilingi kwa rushwa.
 
Sawa.

Lakini mwananchi akishakubali kuitumia haki hiyo anatakiwa kuheshimiwa na kuachiwa aitumie hiyo anayosema ni haki yake.

Ndiyo demokrasia hiyo.

Peter Madeleka alikuwa CHADEMA.

CHADEMA ikakataa kushiriki uchaguzi.

Peter Madeleka akatoka CHADEMA na kwenda ACT iki atumie haki yake ya kikatiba ya kupigiwa kura.

Peter Madeleka ana haki ya kupigiwa kura bila vurugu, kwa sababu kachagua kushiriki katika uchaguzi.

Hata kama uchaguzi wake ni wa makosa, kidemokrasia ana haki ya kufanya uchaguzi wa makosa.

Msimnyime haki hiyo.
Kwa hiyo kwa vile kuna maslai yake anapata pale ndio ataksma ni haki yake apewe tu. Kila chaguzi watu wanakufa na kuwa vilema na hiyo katiba mpya imekuwa kila kipindi ikiimbwa lkn hamna kitu.

Kwa vile maandamano nayo ni haki hacha wanachi na sisi tutimize hiyo haki yetu .

Kwa sababu hicho kitu cha katiba mpya hata kwa samia kilisha semwa kabla ya mwaka huu akaja na zile 4Rs zake .lakn bado tumeona mfano mwaka jana kilicho tokea .

Alafu tuna ambiwa siku 100 katiba mpya mchakoto wake utakuwa umesha anza kiukweli hapo ni uongo mtu huo
 
Wadada kibao wanauza nyapu wamemaliza procurement hawana kazi , yaani anauza k ili alishe familia yake na mtu anateuliwa Kila teuzi yeye akaumbwa kuja kuwala nyumbu tu. Watu masikini wanaumia mno hapo January hajasaini mktaba wa software ya kufuatilia umeme kukatika kutoka India kwa bilioni 70 kweli nchi hii ni shida mno
 
Kama huijui tz na idadi ya askari jaribu kufanya hilo mkuu
Kiongozi maandamano yanapotokea polisi huwa wanakaa upande wao, na wanakuwa makini, hakuna polisi atakwenda kushambulia raia akiwa peke yake, maana ni kukitafuta kifo kwa lazima..

Na hata polisi wakianza kutawanya waandamanaji watatumia tear gas, maji ya kuwasha na kupiga risasi juu.. na hapo wanakuwa kwenye mstari wakitembea kwa pamoja wamebeba ngao.

Wakiwa raia wengi polisi hawana uwezo kuzuia hio ghasia...

Wengi mkiona polisi siku za kawaida wakipiga au kukamata watu mnadhani wana uwezo huo huo kukabiliana na idadi kubwa ya watu.

Hii imepelekea nchi nyingi askari polisi kushindwa kukabiliana na wananchi, sio Kenya, Nepal n.k.. msidhani askari wao walishindwa kujitahidi kadiri wawezavyo... kutuliza maandamano si kitu rahisi...tena askari wa Tanzania ndio hamna kitu.
 
Kwa hiyo kwa vile kuna maslai yake anapata pale ndio ataksma ni haki yake apewe tu. Kila chaguzi watu wanakufa na kuwa vilema na hiyo katiba mpya imekuwa kila kipindi ikiimbwa lkn hamna kitu.

Kwa vile maandamano nayo ni haki hacha wanachi na sisi tutimize hiyo haki yetu .

Kwa sababu hicho kitu cha katiba mpya hata kwa samia kilisha semwa kabla ya mwaka huu akaja na zile 4Rs zake .lakn bado tumeona mfano mwaka jana kilicho tokea .

Alafu tuna ambiwa siku 100 katiba mpya mchakoto wake utakuwa umesha anza kiukweli hapo ni uongo mtu huo
Unakubali kwamba watu wengine ambao wanaweza kuwa na mawazo tofauti na wewe na wao pia wana haki?

Au wewe tu na watu wanaofikiri kama wewe ndio mna haki?
 
Sasa kwa hapo anaye takiwa kuhukumiwa wakwanza ni anaye pokea order kwa sababu anafanya? Kazi ambayo ipo nje ya maadili yake na kiapo chake .

Wananchi tunatakiwa ku deal na hawa askari wa chini kwa sababu wengi wao wamejaa sifa . Mm nimesha ona watu wengi wanaingia kwenye mikono ya askari na kupigwa vibaya mno .siyo kwamba hawajafata maagizo lakn ni kwa sababu askari hao wanapenda sifa

Hiyo tarehe 29 October ukikamata askari kwenye anga zako maliza naye tu .kwa maana siyo mtu rafiki ata kidogo kwako .kwa walio pita kweny mikono ya askari hao watakuwa wananielewa hap.

Kwa uwezo wa mungu October tutashinda
Hakika lazima watolewe kafara nawa waonje maumizi wanayosababishia wengine
 
Back
Top Bottom