Nimetoka kuangalia fujo za mwendo kasi, nimenotice kitu muhimu sana

Nimetoka kuangalia fujo za mwendo kasi, nimenotice kitu muhimu sana

Kwani kuna watu watatoka kwenda kupiga kura ?

Maana itakuwa hatari sana, kumjua aendae kupiga kula na aanenda kuandamana.. Watu wasipo kuwa makini anything can happen
Mimi naona maandamano yafanyike siku nyingine yoyote lakini si siku ya kupiga kura.

Maana hiyo siku kuna watu wengi watataka kutimiza haki yao ya kikatiba kupiga kura kiroho safi tu na kukawa na fujo wanaweza kudhurika.

Haki yako ya kufanya civil disobedience inaishia inapoanzia haki ya mtu mwingine ya kupiga kura.
 
Ni sahihi kabisa, ilipendeza maandamo iwe kabla au baada.

Ila kwa akili za wenye usimamizi wa vyombo vya ulinzi na usalama ndio wanaweza sababisha machafuko au kuumiza watu, maana kuna mtego upo mbele yao na kuutegua unahitaji akili na sio mabavu
 
Mimi naona maandamano yafanyike siku nyingine yoyote lakini si siku ya kupiga kura.

Maana hiyo siku kuna watu wengi watataka kutimiza haki yao ya kikatiba kupiga kura kiroho safi tu na kukawa na fujo wanaweza kudhurika.

Haki yako ya kufanya civil disobedience inaishia inapoanzia haki ya mtu mwingine ya kupiga kura.
Kwani wanaoandamana hawatimizi uwajibu wao kikatiba?
 
Nimetoka kuangalia fujo za mwendo kasi, nimenotice kitu muhimu sana.

Polisi wa Tanzania hawana utayari na hawatoshi kuzuia maandamano makubwa ya ghafla.

Sasa swali langu la msingi sana, ikitokea hawa Wananchi wakaamua kufanya fujo vituo vingi vya kupigia kura, ofisi za serikali kadri iwezekanavyo, italeta implication gani kwenye uchaguzi na maandamano?

Mada iko mezani kila mmoja aijidili kimkakati sana, aseme faida na hasara ya maoni yake.
Zile sio fujo....
Halafu kasngalie kinachoendelea sahivi. ...

Aliyechoka haogopi tena
BTW polisi wamezoea kupiga watu wahache na hili liwe somo tosha kwao kuwa hawataweza, watz wa Leo sio wa jana
 
Kwani wanaoandamana hawatimizi uwajibu wao kikatiba?
Haki moja inaishia haki nyingine inapoanzia.

Wanaoandamana wana haki ya civil disobedience, lakini haki hiyo ikianza kuingilia haki ya wengine kupiga na kupigiwa kura kunakuwa na conflict.

Ku resolve hiyo conflict maandamano yasifanyike siku ya kupiga kura.
 
Nimetoka kuangalia fujo za mwendo kasi, nimenotice kitu muhimu sana.

Polisi wa Tanzania hawana utayari na hawatoshi kuzuia maandamano makubwa ya ghafla.

Sasa swali langu la msingi sana, ikitokea hawa Wananchi wakaamua kufanya fujo vituo vingi vya kupigia kura, ofisi za serikali kadri iwezekanavyo, italeta implication gani kwenye uchaguzi na maandamano?

Mada iko mezani kila mmoja aijidili kimkakati sana, aseme faida na hasara ya maoni yake.
Tarehe 29/10
Ni show show mae lazima kieleweke washenzi wametuchezea sana
 
Haitawezekana ni ndoto za abunuwas
Nilipost uzi wangu mmoja nikisisitiza Kuwa ni practically possible kufanya maandamano Tanzania baada ya kuona Askari wa JWTZ akijirekodi na kusema hamtaki Samia.

Mimi ni mwanamikakati, Tanzania kuna Risk ya machafuko kama Samia atakosa hekima kutaka kushikilia utawala wa Nchi.

Tanzania haikuwa tayari na Rais Mwanamke na asiye na mizizi ya kisiasa.

Fatilia kwa makini matukio yote yanayoendelea nchini
 
Polisi wanaunga mkono hii ishu, hii ni nafasi ya pekee kuondoa wahuni kwenye mfumo, kuna mambo mengi naona yanaenda kutokea kabla ya uchaguzi…series of events ambzo wakikaa vibaya zinaenda kuibua jambo kubwa 29 OCT.

Hamis kigwangala yuko upande wa maandamano, anatoa Codes kijanja jinsi ya kudeal na utawala hiyo siku. Movement ikianza kuwa kubwa, watu wengi wa CCM wataflip, kwasasa wengi wanaangalia upepo.
 
Nchi yoyote ile wananchi wakiamua hakuna wa kuwazuia wananchi wana nguvu kuliko hivyo vyombo vyenye silaha za moto hivyo huwa nawashangaa watawala wakijaa kiburi wakati hakuna nchi yenye majeshi mengi kuliko wananchi.

Nakumbuka Muammar Gaddafi aliwaita waandamanaji panya na hawamuwezi ila mwisho wa siku walimkuta jangwani na walinzi wa mwisho waliobaki watatu na wakamuua na kumdhalilisha sana.
 
Back
Top Bottom