Nimetoka kusifiwa natembea kama mwanajeshi, nimefurahi sana

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Ebana wanajamvi inakuwaje?

Nilikuwa natembea kuelekea kwenye Kituo cha basi upande wa pili. Nilipokuwa navuka zebra kuelekea kwenye hicho kituo kulikua na mzee mmoja kakaa anasubiri basi.

Cha kushangaza alikuwa ananiangalia kwa makini sana hadi nikajishtukizia.

Nilipofika karibu yake akanisalimia hello nikamjibu. Akaniuliza sorry if I may ask where are you from your country of origin nikamjibu Tanzania. How long have you been here nikamdanganya just eight months. Were you in the army in your country? Nikadakia mara moja na kumdanganya namkujibu yes I was and always be a soldier how did you know,l?

I saw you when you were coming the way you were walking immediately I knew you are soldier.

Wanajamvi kusema kweli nilifurahi kichizi yanii. Nikamuuliza have you been to Africa. Akajibu not really Africa have been to Tunisia, Morocco and Egypt but long time ago in 80s and 90s. Nikamuambia Visit Tanzania oneday you will never regret.

Akaendelea have also been to Laos, Vietnam and Thailand. Basi lake likaja akaniaga nakupanda.

Wanajamvi kwenye ukakamavu Napendaga sana kusifiwa. Huyo mzee yuko sahihi kabisa siyo yeye tu wengi wananisifiaga tembea yangu. In reality ukiniona natembeaga kwa kujiamini nimenyooka mwili wa mazoezi chesel shape. Namiliki centre of gravity ipasavyo.

Sasa ni mzee ndo kanisifu. Je ingekuwa dem yani ningeongeza kunyanyua chuma kila siku badala ya mara nne kwa wiki.

Huyu mzee made my day.
 
200w.gif
 
Read between the lines. That white old man meant YOU LOOk LIKE ISIS TERRORIST....!
 
Watu wa DCEA ongezi Juhudi zenu tafahali katika Kupambana na Matatizo Sugu ambayo mmeyabaini Kukithiri nchini.
 
Vipi, umbile lako ni giant, mrefu, soulder like structure?
 
Kumbe na wanajeshi wana miondoko yao 😅😅
 
Safi sana mzee ni msaikolojia kaona I bless siku Yako fanya hivyo kwa wengine pia
Nadhani 2018 nilipokuwa nafanya kazi jikoni restaurant dishwashing. Hicho kipindi nilikuwaga na depression na stress ya hatarii. Nikawa najiachia nywele ziko hovyo. Siku moja wikend nikaenda kinyozi nikanyoa panki na ndefu zote. Kesho yake j3 naingia kazini kwasababu nilikuwa dishwashers nA kitchen assistant nilikuwa naanza saanne wengine wanaanza saa moja asubuhi. Yani kuingia tu wote midomo wazi hawaaminii nilivyotransform ghafla kuwa handsome. Madem wakaanza kusema all the time you've been hiding your good looks. Midume ikaanza husda na wivu.

Kutokana na hizo compliment nikamaintain my real personality hadi leo. Ndo maana sifa lukuki kutokana wanaonijua na wasionijua na tunaokutana nao na kupishana nao ni nyingi mnooo.
 
Back
Top Bottom