Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Kwahy mtoa mada ndio alikuwa anatembea hv kama vile amebana kalio 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahy mtoa mada ndio alikuwa anatembea hv kama vile amebana kalio 😂
Sijui bhanaKibimbwi ni bongo yote mkuu mnaogelea na chura wenu kiroho safi🤔
😂😂😂😂😂😂Ebana wanajamvi inakuwaje?
Nilikuwa natembea kuelekea kwenye Kituo cha basi upande wa pili. Nilipokuwa navuka zebra kuelekea kwenye hicho kituo kulikua na mzee mmoja kakaa anasubiri basi.
Cha kushangaza alikuwa ananiangalia kwa makini sana hadi nikajishtukizia.
Nilipofika karibu yake akanisalimia hello nikamjibu. Akaniuliza sorry if I may ask where are you from your country of origin nikamjibu Tanzania. How long have you been here nikamdanganya just eight months. Were you in the army in your country? Nikadakia mara moja na kumdanganya namkujibu yes I was and always be a soldier how did you know,l?
I saw you when you were coming the way you were walking immediately I knew you are soldier.
Wanajamvi kusema kweli nilifurahi kichizi yanii. Nikamuuliza have you been to Africa. Akajibu not really Africa have been to Tunisia, Morocco and Egypt but long time ago in 80s and 90s. Nikamuambia Visit Tanzania oneday you will never regret.
Akaendelea have also been to Laos, Vietnam and Thailand. Basi lake likaja akaniaga nakupanda.
Wanajamvi kwenye ukakamavu Napendaga sana kusifiwa. Huyo mzee yuko sahihi kabisa siyo yeye tu wengi wananisifiaga tembea yangu. In reality ukiniona natembeaga kwa kujiamini nimenyooka mwili wa mazoezi chesel shape. Namiliki centre of gravity ipasavyo.
Sasa ni mzee ndo kanisifu. Je ingekuwa dem yani ningeongeza kunyanyua chuma kila siku badala ya mara nne kwa wiki.
Huyu mzee made my day.
Hahaha😂😂😂😂😂😂
Nimefurahi sana.
Magufuli aliwahi kusema na nitamnukuu kiunaga ubaga
"...nataka Watanzani watembee vifua mbele..."
Amini usiamini, Hayati mwenyewe alitaka kutembea kama mwanajeshi.
😂😂😂😂😂✌️
✋🏾5️⃣Hahaha
Ukija Tz ukiondoka tutaondoka wote!Hahaha
Kuna jeshi la wokovu mkuu usijaliAiseeeeh! Na mimi nitatembea kwa kukakamaa ila hii kitambi na ufupi sijui watasema mwanajeshi wa wapi....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lucas atanirogaUkija Tz ukiondoka tutaondoka wote!
Ntumie basi picha yako inboxUkija Tz ukiondoka tutaondoka wote!
Endelea kuota!Ntumie basi picha yako inbox
[emoji23][emoji23][emoji23]Yako ndogo hiyo, mimi nilitema kohozi pahala ,jamaa akaniangalia akaja
Ndg ,habari ,nikajibu njema wewe unamafunzo yakivita nikasema hapana ,hicho kikohozi umekitoaje bila kusikika ukikivuta na umetema chakutosha
Akachomoa Lakimbili akaniaward