ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Kichwa kina vitu vingi siwezi kuanza kutegua nahau vitendawili na mafumboKwa nini ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichwa kina vitu vingi siwezi kuanza kutegua nahau vitendawili na mafumboKwa nini ?
Acha na mwashambwa kila kitu kitakuwa sawa🤣Kichwa kina vitu vingi siwezi kuanza kutegua nahau vitendawili na mafumbo
Niachane nae halafu niwe na wewe?Acha na mwashambwa kila kitu kitakuwa sawa🤣
Chelebwabwa!
🤣🤣 mimi sijasema, ila kwani inashindikana?Niachane nae halafu niwe na wewe?
Wewe sema kua straight, niachane nae niwe na wewe? Mshenga The Stress Challengerr🤣🤣 mimi sijasema, ila kwani inashindikana?
Vp una pesa za kutosha?Ebana wanajamvi inakuwaje?
Nilikuwa natembea kuelekea kwenye Kituo cha basi upande wa pili. Nilipokuwa navuka zebra kuelekea kwenye hicho kituo kulikua na mzee mmoja kakaa anasubiri basi.
Cha kushangaza alikuwa ananiangalia kwa makini sana hadi nikajishtukizia.
Nilipofika karibu yake akanisalimia hello nikamjibu. Akaniuliza sorry if I may ask where are you from your country of origin nikamjibu Tanzania. How long have you been here nikamdanganya just eight months. Were you in the army in your country? Nikadakia mara moja na kumdanganya namkujibu yes I was and always be a soldier how did you know,l?
I saw you when you were coming the way you were walking immediately I knew you are soldier.
Wanajamvi kusema kweli nilifurahi kichizi yanii. Nikamuuliza have you been to Africa. Akajibu not really Africa have been to Tunisia, Morocco and Egypt but long time ago in 80s and 90s. Nikamuambia Visit Tanzania oneday you will never regret.
Akaendelea have also been to Laos, Vietnam and Thailand. Basi lake likaja akaniaga nakupanda.
Wanajamvi kwenye ukakamavu Napendaga sana kusifiwa. Huyo mzee yuko sahihi kabisa siyo yeye tu wengi wananisifiaga tembea yangu. In reality ukiniona natembeaga kwa kujiamini nimenyooka mwili wa mazoezi chesel shape. Namiliki centre of gravity ipasavyo.
Sasa ni mzee ndo kanisifu. Je ingekuwa dem yani ningeongeza kunyanyua chuma kila siku badala ya mara nne kwa wiki.
Huyu mzee made my day.
Huyo mshenga bado upo kwenye utani tafuta mtu kama dr haya landWewe sema kua straight, niachane nae niwe na wewe? Mshenga The Stress Challengerr
😂Oooh! Wewe baki kwenye nyeto, cha peke yako kwani yako?Never hayo bado ni makando kando yako😁
Sipigi hiyo kitu ndugu mdau , usinitenge🙆😂Oooh! Wewe baki kwenye nyeto, cha peke yako kwani yako?
Hamna nomaSipigi hiyo kitu ndugu mdau , usinitenge🙆
😘😘 mwashambwa akiona hivi ata jiua kabisa 😁😁.Hamna noma
Hana noma! Hana wivu ana moyo wa peke yake😂😘😘 mwashambwa akiona hivi ata jiua kabisa 😁😁.
Hana noma! Hana wivu ana moyo wa peke yake😂